Hii pekee ipo Rwanda

Hii pekee ipo Rwanda

Ahahahhaa!! We jamaa ni mchizi. Eti koki zilizopasuka.

Ukiongea kiswahili tu pahali popote lazma ukapture attention ya watoto. Tena kiswahili ya Dar na sio ya Congo. Wanasema kiswahili ya Dar ni tamu zaidi ya ile ya Congo. Ukiwa unajua na ngeli wenyewe wanaamini utakuwa muwekezaji hivyo papuchi za kitusi zitakulaza na viatu.

Mkuu,hao watoto wananitoa mate sana. Hivi kupata jiko uko ni rahisi?
 
Alaaa kumbe! Sasa ndo nafunguka maana that night ilikuwa ni maji tu kama vita vya maji maji..

I was a plumber that day maana nlikuwa na sababu mbili muhimu moja lilikuwa ni jukumu la kitaifa kuthibitisha kwamba Bongo tunazijua shoo pia. Nyingine ilikuwa mtoto alikuwa mkali kwa hiyo niliona kama golden chance kwa maantiki hizo hapo juu niliazimika kuwa fundi bomba makini for a while maana maji yalikuwa yanatoka uncontrorablly.

Ilikuwa ndo fantasy yangu kugegeda show yenye maji...nlikua naenjoy saana fundi bomba nikiyatekenya maji anavyokakamaa na kurusha kama water fountain.aaha!

Swali la kizushi kwanini watu wengi wanamiliki maji saana kule kwa Kagame?

Now I know...Kumbe plastic cover ndo kazi yake.
Uncontrolably
 
Na vp haujaona gest zao pembeni ya kitanda kumetengenezwa mfeleji wa maji kumwaga nje?
Licha ya hotel niliyofikia kuwa mzunguko wa club na pub nyingi zenyr kila sample bado sikuwa na kiraruraru saana nlikuwa calm and determined pia mwenye hamu ya kuona maajabu ya maji.

Ila nilishangaa baada ya kwenda kwa mshkaji wangu asubuhi na kukuta maji yamejaa na yametapakaa kila pahali pale chini na kiukweli sikuhisi kama yale maji yote yametoka kwa binadamu mpaka jamaa aliposema hii kitu Inaitwa "kunyaza" na maji ninayoyaona yametoka kwa mchuchu..was suprised! Nilihisi lazma atakuwa kalazwa kwa kupoteza maji mengi hivi..loh! Kweli tembea uone!
 
kwa hiyo mkuu maji yote yaliyojaa ziwa victoria hukuyaona mpaka ulivyoenda Rwanda? anyway nadhan na sis tuiache dar na maji yake yote ya bahar tuyafate ya Rwanda. kwanza ujazo wa wastan bei gani tusije aibika tukidhan ni viwango vya wenzetu wa kona baa. teh!
 
Licha ya hotel niliyofikia kuwa mzunguko wa club na pub nyingi zenyr kila sample bado sikuwa na kiraruraru saana nlikuwa calm and determined pia mwenye hamu ya kuona maajabu ya maji.

Ila nilishangaa baada ya kwenda kwa mshkaji wangu asubuhi na kukuta maji yamejaa kila pahali na kiukweli sikuhisi kama yale maji yote yametoka kwa binadamu mpaka jamaa aliposema hii kitu Inaitwa "kunyaza" na maji ninayoyaona yametoka kwa mchuchu..was suprised! Nilihisi lazma atakuwa kalazwa kwa kupoteza maji mengi hivi..loh! Kweli tembea uone!
Asee acha masihara mkuu
 
Inabidi umtundikie drip kabla ya kuanza show.
 
ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka,

Uwiii mie siko tayari kula mate ya mtu ambaye hanihusu! yaani anakunywa pombe yangu halafu na mie niendelee kuinywa agriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih
 
Mi mwenyewe nilisema over my dead body yaani uje umetoka kula mate Lita tano na mchuchu au njemba afu unywe liprimus langu kama unaonja gongo kilabuni. Hapana.
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo kila raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma. Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
...hahahaa, nimeipenda itabd niende huko, ntakutafuta aisee
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

1: Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

2: Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

3: Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.

Kaka kuna point umeziongezea chumvi
1: Sio kweli bwana, haiwezekani mtu kujua watu wa mji Mzima, kama utawajua wachache basi kila mji uko hivyo

2: sio kweli, DRC na Burundi pia Askari wote wanavaa uniform za aina moja

3: sio kweli, hata Mji wa Kampala, Bukoba, Ngara hali iko hivyohivyo, Guest nyingi Magodoro ya Plastic Cover
 
Wamejaa Karagwe wakuu kwa anayetaka kuwagegeda. Mimi nilipata nikiwa huko mmoja, mtoto akapagawa kuona niko na watasha na huku namwaga ng'eng'e mingi. Nilipoitongoza aliniuliza natoka Daslam? Nikamrusha kwa kumwambia mimi mtswana aliruka kwa furaha. Anadai watswana wapo kama waingereza. Nilikula 'mutoto kwa laha thana'.
 
Kaka kuna point umeziongezea chumvi
1: Sio kweli bwana, haiwezekani mtu kujua watu wa mji Mzima, kama utawajua wachache basi kila mji uko hivyo

2: sio kweli, DRC na Burundi pia Askari wote wanavaa uniform za aina moja

3: sio kweli, hata Mji wa Kampala, Bukoba, Ngara hali iko hivyohivyo, Guest nyingi Magodoro ya Plastic Cover
1: atleas someone knows somebody in the city Kigali.

2: labda uniambie wengine wana sare gani maana Mimi nliwaona wa blue mwanzo mpaka mwisho wa safari yangu.

3: Rwanda pekee ndo wanastyle ya namna hiyo ya kuweka cover ya plastic godoro zima huko kwingine wanatandika kakipande kaplastic pale juu kama kale ka watoto kwa huku Bongo.
 
Mmh mkuu,kumbe nao wana-dawasco,nami nipo interested,hebu tupe mchanganyuo wa Nauli kufika huko(bus/airplane), na vipi cost za kung'oa hiyo migagi ya huko rwandani(au price buku5 kama kona bar),na ni vipi ukiwatoa matenga amani inadumu kama ulivyosifia au ndio kama dada zetu wa bongo kutembea na viwembe kwenye sidiria.
 
Back
Top Bottom