Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,716
215077000_2031011817038096_5226114440007513040_n.jpg


Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
 
Kama pana sababu nyingine sawa lakini bado hatujifunzi tukio la kudanganya liliisha tukuta (nurdin bakari )na jambo hili nchi za afrika magharibi liliwakuta sana na ndio sababu wachezaji wao hawadumu katika soka kwa muda mrefu sababu ya kudanganya umri tuwe makini
 
Bongo ndio maisha yetu haya. Mbona jana Paula ametimiza miaka 19 wakati tulisoma nae mwaka mmoja O Level akafeli. Wanataka kusema alianza shule akiwa na miaka mitatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom