Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

Kikoti si ni Mzee wa Busara!

Metacha naye ni U23 kweli? Mbona hili taifa linacheza na hisia za watu hivi.

Reliants Lusajo naye eti ni U23.
hili kundi la U23 limeruhusiwa kuongeza wachezaji wa3 waliozidi 23 Lusajo ni mmojawapo.Angalia wamewekewa nyota wote wa3. Mfano LUSAJO*
 
Bongo kutoka kimpira sio kitu chepesi, mtu anahustle kwenye ndondo mpaka miaka 25 -26 akifanikiwa kufika ligi kuu anasema ana miaka 19 ..
 
Ina maaan we ndo umemaliza 4m 6 mwaka huu? Kumbe kuna watoto humu daaah.
Kwani Paula alitakiwa amalize form 6 mwaka huu? NECTA form four si kafanya 2016, yeye na Jennifer Kanumba ndio mastaa wa mwaka huo. Sasa anatimizaje miaka 19 jana.

Mimi ni kaka yako uwe unaniamkia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom