Nani ana nguvu kwa mchezaji kati ya Timu ya Taifa na Klabu anayochezea?

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,373
2,513
Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome. Ally Kamwe anasema, "Kuhusu Pacome tunasubiri majibu zaidi ya kambi ya timu yake ya taifa".

Hivi mchezaji ni mali klabu au taifa lake? Sio Yanga ndio waliopaswa kutoa majibu ya viipimo kujua kama ni ruksa kwenda kuchezea timu ya taifa au auguzwe?

Timu za taifa haziiti majeruhi wala wakuangaliwa bali ni wanaitwa wachezaji waliofit tu ili wakacheze mechi. Sasa kwanini apelekwe mchezaji asiyeeleweka afya yake?
 
Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome.
Ally Kamwe anasema kuhusu
Pacome tunasubiri majibu zaidi ya kambi ya timu yake ya taifa"

Hivi mchezaji ni mali klabu au taifa lake? Sio Yanga ndio waliopaswa kutoa majibu ya viipimo kujua kama ni ruksa kwenda kuchezea timu ya taifa au auguzwe. Timu za taifa haziiti majeruhi wala wakuangaliwa bali ni wanaitwa wachezaji waliofit tu ili wakacheze mechi. Sasa kwanini apelekwe mchezaji asiyeeleweka afya yake?
Case study: Mo Salah, Liverpool vs Egypt national team.

Nilisikiaga wachezaji wa Yanga wakiumia wanapelekwa pemba kuaguliwa kuondoa misumali pengine Pacome kaona ajiongeze.
 
Messi anacheza Inter Miami, kwenye mechi ya leg 2 kati ya Miami na Nashville alikua anapata maumivu msuli wa paja.

Kocha wa Miami aliulizwa kama messi hali ya messi kuelekea mechi ya Jmosi hii, alijibu hali messi itatolewa na Nation Team (Argentina). Pamoja na hayo missi hayupo kwenye kikosi chat Team yake ya taifa kipindi hichi cha FIFA break.

Kwa hivyo kijani ni kawaida kwa hali ya mchezeji kutolewa na team yake ya taifa hamna jambo la ajabu
 
Mind game ya kitoto sana hiyo,timu ya taifa haiiti mchezaji majeruhi kuchukua nafasi ya mwingine aliye majeruhi,wanafikiri Mamelod ni wavivu wa kufikiri kama wao
Kama ni swala la mind game basi limekosa muendelezo kwasababu ni bora angeendelea kudanganya kwa kumbakisha Tanzania ila kitendo cha kwenda kujiunga na timu ya taifa tayari Mamelod kimeshawapa jibu kuwa yupo fit.

Kwa jinsi alivyokuwa amebebwa kila mtu alijua nje wiki kadhaa au miezi kadhaa inamaana ilikuwa ni mipango tu ile ya kuigiza. Sijajua lengo ni kuwazubaisha Mamelod wajue ni majeruhi au lengo ni kutaka Mamelod wasijue mpira wao upoje. Mudathir chini ya kiwango, Azizi ki chini ya kiwango, Bacca, kachomesha ila Diarra kaokoa, Kibabage chini ya kiwango, Yao na Pacome mapema kabisa nje.
 
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sana
 
Mind game ya kitoto sana hiyo,timu ya taifa haiiti mchezaji majeruhi kuchukua nafasi ya mwingine aliye majeruhi,wanafikiri Mamelod ni wavivu wa kufikiri kama wao
Sijui kwanini mbumbumbu hua hamna akili juzi tu Haller aliitwa timu ya taifa akiwa majeruhi, Vicente Aboubakar same case hivi kwanini hua hamsumbui akili zenu?
 
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sana
Hii mechi kama ingepigwa kabla ya kuelekea kwenye mechi za kimataifa au baada ya mechi za kimataifa, Azam ungewakataa hawa.
 
Ukisema hao akina Baca wamecheza chini ya kiwango utakuwa huwatendei haki Azam kwa ubora walionao,huyo Pacome aliumia but sio kama ilivyokuzwa,Yao Yao aliumia kidogo msuli tena hakuguswa na mchezaji yeyote,ni mind game ya kitoto sana
Hivi nyie mbumbumbu Inonga hakuitwa timu ya taifa akiwa majeruhi mbona akili zenu ni fyatu
 
Back
Top Bottom