Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa

Hata moneystuma anajua Hilo. Si umeona avatar yake?!
 
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
Ha ha ha umenichekesha miss preta sasa kama ni hvyo basi funga ndoa na benki!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa

una jini mahela?
 
Heeh. Mie akiniangalia angalia tu nakuuliza unanitaka? Una sh ngapiiii?

Mambo ya longolongo yashapitwa na wakati!

Masista duuh kama nyie wenye nyodo za kupenda pesa alwayz mnaangukia kwa wachizi wa kitaa na wanawamega bila hata kutoa senti tano
 
Aiseee mi mwanamke akiniomba hela huwa naishia hapohapo. kwa nini unifanyie biashara ya mapenzi mimi aaaaaaaaaaaaaaakh huwa nachukia sana mtu anakugeuza ATM utasikia baby ninashida na sh. elfu hamsini naomba nisaidie nadaiwa???. elfu hamsini anaitamka tu kaka elfu 5 vile hajui wewe unaivujia jasho kiasi gani. pumbaf kabisa. kwa nini usifanye kazi upate hiyo hela kuliko kujiuza kwa mwanamme
 
bwana wanaume hamtabiriki kwa kweli kila mwanaume na system yake kuna mwingine ukimchelewesha anasepa

Tena mimi ukinichelewesha kidogo tu nakuachia manyoya,nisubiri mwezi kwani kazi hiyo?
 
ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama umempenda. muonyeshe kama umempenda ili awe na matumain lakin usimkubali haraka.sisi tunaamin ukikubali haraka basi utakuwa kicheche.mtuzungushe zungushe.
pia siku za kwanza kwanza msipende kutuomba ela sababu ukiomba ela mapema unaonekana ujatulia. harafu mkiomba ela muite sana neno sweet, etc.
pia mjifunze kupetipet. kubembeleza.kutabasamu ata jitaid kutuma msg nying kama nimekumiss ata kama ujatumiss.
pia kukiwa na ugomvi usipanic bali kuwa mwepesi sana kuomba msamaha apo mapenz yatadumu.
pia muonyeshe unampenda. mkifanya hivo na sisi tutawapenda sana wala kuachana kutashindwa.
mwisho usiwe muda mwingine uko unachat kwenye simu sababu sisi tunaamin utakuwa unachat na wanaume ata kama atutouliza.
stori za kuwaambia wasichana wa kijijini hizi.
 
Mmmh!!!.Majanga!.Wanawake wa zama iz balaa!!!.Cjui ntamuoa nani dua hi!!!. Ee MUNGU nipe mke muadilifu!
 
ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama umempenda. muonyeshe kama umempenda ili awe na matumain lakin usimkubali haraka.sisi tunaamin ukikubali haraka basi utakuwa kicheche.mtuzungushe zungushe.
pia siku za kwanza kwanza msipende kutuomba ela sababu ukiomba ela mapema unaonekana ujatulia. harafu mkiomba ela muite sana neno sweet, etc.
pia mjifunze kupetipet. kubembeleza.kutabasamu ata jitaid kutuma msg nying kama nimekumiss ata kama ujatumiss.
pia kukiwa na ugomvi usipanic bali kuwa mwepesi sana kuomba msamaha apo mapenz yatadumu.
pia muonyeshe unampenda. mkifanya hivo na sisi tutawapenda sana wala kuachana kutashindwa.
mwisho usiwe muda mwingine uko unachat kwenye simu sababu sisi tunaamin utakuwa unachat na wanaume ata kama atutouliza.

Hii research nahisi umejifanyia mwenyewe so its vere irrelevant since sample space is very narrow. Am not sure kama vigezo vingine vilizingatiwa when conducting this research.
 
kwenye research yoyote uwezi mlizisha kila mtu nalijua ilo uko huru kukosoa
 
Back
Top Bottom