Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

Hata wanaume wanatongozwa kwa hiyo wote wajadili hili
 
mkuu mambo ya kale sana haya.

Yaani 'kuzungushana' ndio mpango gani huo? Yaani utongoze wiki eti mwezi kwa lipi hilo?

Pole mkuu kama bado uko kwenye stage hii

hakuna mtu anapenda kuzungushwa ila ukikubaliwa muda huo utafurah kwa sababu umemtaman lakin kama umempenda utashtuka.
 
Hivi bado watu wanaamini ile 'usinikubali haraka haraka'? Sijui aliimba nani huu wimbo wa bongo fleva!
 
usiseme wanaume wote mko ivo bana weee.......!
 
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa

Hahahha umeniacha hoi shosti.mwanaume kuwajibika atiii au sio.usisubiri kutunziwa mpenzio na wenzio
 
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa

Melinda Gates!
 
hahhaha sasa kuna wanaume wanapenda uwafanyie hivyo, yaani ukiona mesage yake tu jua anataka pesa, akipiga simu,sweet nyingi nyingi, ila sentenssi ya mwisho anaomba pesa, mwanaume lijali kabisa umeamaua kwenda kwake kumtembelea, say kaja kukupokea airport na kigari chake, basi mnatoka airport mnapitia petro station anakuomba pesa umjazie petrol, ukifika nyumbani anakuomba pesa mkanunue vitu vya kupika, usiku ukiingia anakwambia tutoke, mkifika baa ulipie bill yoote, kesho ukiamka umpe pesa aende salon akanyoe, ukiamua kutoka kidogo(peke yako bila yeye) anakupa number ya voda umtumie jamaa yake mpesa eti alikopa eti huko njiani utakutana na vibanda vya mpesa, jamani mapenzi shughuli pevu

kwa jinsi unavyolea wanaume unaonekana unapesa ya kutosha.....
 
Back
Top Bottom