Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
True love iko Paw tuuu, wengine wote michosho
Yaani ex-kidumu mpaka mimi mpenzi?
True love iko Paw tuuu, wengine wote michosho
ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama umempenda. muonyeshe kama umempenda ili awe na matumain lakin usimkubali haraka.sisi tunaamin ukikubali haraka basi utakuwa kicheche.mtuzungushe zungushe.
pia siku za kwanza kwanza msipende kutuomba ela sababu ukiomba ela mapema unaonekana ujatulia. harafu mkiomba ela muite sana neno sweet, etc.
pia mjifunze kupetipet. kubembeleza.kutabasamu ata jitaid kutuma msg nying kama nimekumiss ata kama ujatumiss.
pia kukiwa na ugomvi usipanic bali kuwa mwepesi sana kuomba msamaha apo mapenz yatadumu.
pia muonyeshe unampenda. mkifanya hivo na sisi tutawapenda sana wala kuachana kutashindwa.
mwisho usiwe muda mwingine uko unachat kwenye simu sababu sisi tunaamin utakuwa unachat na wanaume ata kama atutouliza.
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa

bwana wanaume hamtabiriki kwa kweli kila mwanaume na system yake kuna mwingine ukimchelewesha anasepa
wanaume hawaeleweki
AU UWAAMBIE NMB WAKUFUNGE KA-ATM SEHEMU YEYOTE YA MWILI -UTAKAYOIPENDA eg(.....), UKIZIHITAJI TU, UNAJICHOMEKEA ATM-CARD, HAAAAHAHAAA...!h
Wapenda pesa sana wewe. Kwa nini usiolewe na Benki????????
hahhaha sasa kuna wanaume wanapenda uwafanyie hivyo, yaani ukiona mesage yake tu jua anataka pesa, akipiga simu,sweet nyingi nyingi, ila sentenssi ya mwisho anaomba pesa, mwanaume lijali kabisa umeamaua kwenda kwake kumtembelea, say kaja kukupokea airport na kigari chake, basi mnatoka airport mnapitia petro station anakuomba pesa umjazie petrol, ukifika nyumbani anakuomba pesa mkanunue vitu vya kupika, usiku ukiingia anakwambia tutoke, mkifika baa ulipie bill yoote, kesho ukiamka umpe pesa aende salon akanyoe, ukiamua kutoka kidogo(peke yako bila yeye) anakupa number ya voda umtumie jamaa yake mpesa eti alikopa eti huko njiani utakutana na vibanda vya mpesa, jamani mapenzi shughuli pevu
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa
Mi bado niko nje,si umezuia wanaume tusiingie! Nini kinaendelea humo ndani? Unafanya nini na wake,dada na mabinti zetu huko ndani? maana tunaanza kupata wasiwasi!
Hii kwa sisi wanaume, ambao kula yetu inategemea lumbesa kule shimoni Kariakoo, ni ngumu kumesa!.Sawa......na nyie sio mngoje mpaka tuwaombe pesa.......we nipe tu randomly........usihesabu.....kama umenipa jana na leo pia unaweza kunipa......ukiona sina raha niulize taratibu huku unanipa hela........ukinipigia niulize kama hela zimeisha.......asubuhi niulize leo nitataka sh ngapi.......jioni nikirudi hakikisha zile pesa za asubuhi kama zilitosha......alaaaaa