Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,754
Hiyo inaoteshwa shamban sio karb na bomaNa mchicha je?
Wewe ndio uliyevaa hiyo minyororo shingoni?Akuna raha kama ukiona account yako inaingia pesa kila dakika wale mbwa wanao sema nashinda jf wapo wapi
View: https://youtu.be/qVtKzETrRkM?si=6VO1rEOVZjHUWiM0
Kutokulima mchicha lazima ufanye mambo ya ajabu ajabu.
Sasa kwanini ujenge nyumba halafu uweke hayo mamichicha wakati nafsi ya mtu inataka kuweka paving na mauaHuwa tunajenga nyumba ili kuridhisha nafsi zetu kutokana na uhitaji au ni kutaka jamii ione nimejenga aina fulani ya nyumba?
Mkuu mimi binafsi maisha haya nayaishi na siwezi acha yana raha yake.Zamani tulikuwa tukijenga nyumba zetu, tutaweka bustani ndogo ndogo za mbogamboga na mtunda, mabanda ya mifugo midogo midogo ili utakapo hitaji chochote iwe ni rahisi kupata hapo ulipo.
Uzee huu miziki mipya siijui kabisa!
Gademit!Hayo mambo ya wachache,
Life fulani hivi la kituristi,
Expensive shiti.
Kwani ulishawahi kuwaomba mchuzi? Unawapa airtime wapumbavu, mimi siwezi kuwazishwa na hao wapuuzi hata kidogo mtu unamzidi kila kitu anakuja kuongea ufala na hakujui! Achana nao takataka mbwaa!!Akuna raha kama ukiona account yako inaingia pesa kila dakika wale mbwa wanao sema nashinda jf wapo wapi
View: https://youtu.be/qVtKzETrRkM?si=6VO1rEOVZjHUWiM0
Unataka kuishi miaka mingapi?Unajua hayo mazingira unayoishi yanapunguza siku za kuishi?
Mhmmmm uzee wako upo wapi ? KaoneUzee huu miziki mipya siijui kabisa!