TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,050
Hall III - Chuo Kikuu dar es salaam (Udsm)
Babu hebu nipe maelezo zaidi na ikibidi maelekezo kuhusu Sehemu tajwa hapo juu.. Pliiiiiz
Hall III - Chuo Kikuu dar es salaam (Udsm)
naona hiyo imezidi makao mapya arusha mana nako kule nii kiboko zenyewe nyingi kuliko nyumba za kupanga
Kwe kwe kwe!!!!!!!!! Fataki @ work LOL. Angalia mwenyewe afu ndo utajua kwanini watu wanasema kiwango cha elimu kinashuka siku hadio siku...Babu hebu nipe maelezo zaidi na ikibidi maelekezo kuhusu Sehemu tajwa hapo juu.. Pliiiiiz
huko ndo sinza kwa wazinzi. . . .!
Mbona unaguna au sharobaro wako Ruttashobolwa kashakumwaga? Basi akiwa na swahiba ake Nicas Mtei wanajiona wamefiiiiikaaaa!!Mmmhhh...
Kwe kwe kwe!!!!!!!!! Fataki @ work LOL. Angalia mwenyewe afu ndo utajua kwanini watu wanasema kiwango cha elimu kinashuka siku hadio siku...
![]()
Hiyo makitu ikinasia kuna ubaya arifu?Sa ndo vinini hivi unaniwekea badala ya kunisaidia kadri ya ombi langu?
Acha roho mbaya Arifu....
Hiyo makitu ikinasia kuna ubaya arifu?
dogo lala bana...km unaweza njoo nyumbani loungeBwashee hebu acha masihara Bana.. Hii habari ya Holu Sree ipo au haipo, nilale zangu?
Mbona unaguna au sharobaro wako Ruttashobolwa kashakumwaga? Basi akiwa na swahiba ake Nicas Mtei wanajiona wamefiiiiikaaaa!!
![]()
kama wewe ni mgeni ukienda gesti za uswazi ukitaka chumba cha kulala unaambiwa vimejaa,ila ukighairi ukitaka cha show time vipo vya kumwaga,utaisoma,kulala kalale kwako hapa ni fwedha tu
kama wewe ni mgeni ukienda gesti za uswazi ukitaka chumba cha kulala unaambiwa vimejaa,ila ukighairi ukitaka cha show time vipo vya kumwaga,utaisoma,kulala kalale kwako hapa ni fwedha tu