Hii ndo Dar bwana!

Hii ndo Dar bwana!

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Siyo ile ya kujifunika mashuka mawili-mawili, mpaka sie wachafu tukapata sababu ya kukwepa kuoga.
Hili jua ni nowmer, ukiweka nyama chumbani kwangu ukirudi unakuta mishkaki.
Wageni karibuni Dar ya ukweli-kwelii...
 
....hii ndio Dar,
Sinza hii kila baada ya nyumba moja kuna Guest House......!!!!!!,
na ukija muda wowote unaambiwa zimejaaa..
 
Hahahahaha

Dah mwanangu mbona huko ndio poa! wenzako huku sasa hivi tunachezea -2degrees, yaani baridi inapuliza hakuna machezo. Jana ilikuwa -6degrees!
 
[/COLOR]

Uko Novgrad au St. Petersburg?
 
Dah mwanangu mbona huko ndio poa! wenzako huku sasa hivi tunachezea -2degrees, yaani baridi inapuliza hakuna machezo. Jana ilikuwa -6degrees!
[/COLOR]

duh pole nayakumbuka sana hayo maisha....kutoka nje kwenda dukani unajifikiria mara mbili mbili..
 
Mambo ya mabadiliko ya tabia nchi.
Sijui itakuweje kwenye hali ya nyuzi joto itakapofika/ ikifika mwaka 2050
 
Ula la lah hata saa sit mchana zimejaa Madame B

kwikwikwi saa sita mbali saa nne tu wakimaliza usafi full bocked hata madame B anajua...
na kwa joto la dar kama hamna AC na jenereta biashara inadoda..... manake umeme ukikatika wakati uko kwenye game na hawana jenereta na nyumba siyo ya gorofa ukifungua dirisha wanachungulia mbona unakomaa
 
Acha tu bora nibaki huku huku Atown,usije mjini kuni watu jua moto sikutishi mji haufai.....
 
....hii ndio Dar,
Sinza hii kila baada ya nyumba moja kuna Guest House......!!!!!!,
na ukija muda wowote unaambiwa zimejaaa..

Lete ushahidi Madame B, usintishe wakati nakaribia kwenda sinza nikatafute gesti.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuh

kwikwikwi saa sita mbali saa nne tu wakimaliza usafi full bocked hata madame B anajua...
na kwa joto la dar kama hamna AC na jenereta biashara inadoda..... manake umeme ukikatika wakati uko kwenye game na hawana jenereta na nyumba siyo ya gorofa ukifungua dirisha wanachungulia mbona unakomaa
 
Duuuuuuh kufanya survey ni kazi ngumu nime amini!

kwikwikwi saa sita mbali saa nne tu wakimaliza usafi full bocked hata madame B anajua...
na kwa joto la dar kama hamna AC na jenereta biashara inadoda..... manake umeme ukikatika wakati uko kwenye game na hawana jenereta na nyumba siyo ya gorofa ukifungua dirisha wanachungulia mbona unakomaa
 
....hii ndio Dar,
Sinza hii kila baada ya nyumba moja kuna Guest House......!!!!!!,
na ukija muda wowote unaambiwa zimejaaa..

Duh!!siyosinza tu mi nipo moro pande za dumila kilakona gest hous.jua nililoliacha Dar jana nimelkuta huku.kibaya zaidi nimekuta mgao wa maji najuuuuuuuta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom