Unafamu nini kumhusu Dalai Lama?

Unafamu nini kumhusu Dalai Lama?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,772
Reaction score
21,489
1751826282683.jpg

Kama ulikua humjui vizuri DALAI LAMA wacha nikufahamishe;-

Watu wengi wanaamini kuwa DALAI LAMA ni jina la mtu,
Sasa nikwambie tu kuwa siyo kweli kabisa,
Ukweli ni kwamba neno DALAI LAMA siyo jina la mtu,
Bali ni jina la cheo sawa na unavyosema;- PAPA , MUFTI, ASKOFU na kadhalika.

DALAI LAMA ni jina la kiongozi wa dini ya BUDHA,
Anae ongoza dini hiyo katika mkoa wa TIBETI nchini CHINA,
Nasiyo jina la mtu kama wengi wanavyo jua,
Siyo kiongozi mkuu wa dini ya BUDHA duniani hapana,
Yeye anahusika na kuongoza dini hiyo mkoani TIBETI tu,
Neno DALAI LAMA hili ni neno linalo undwa maneno mawili kutoka lugha mbili tofauti,
Ambapo neno " DALAI " ni neno la KIMONGOLIA,
Ambapo maana yake kwa kiswahili ni BAHARI,
KIMONGOLIA ni lugha inayo zungumzwa nchini MONGOLIA,
Na neno LAMA ni neno la kilugha la KITIBETI,
Ambapo maana yake ni kwa kiswahili ni BWANA,
KITIBETI ni lugha inayo ongelewa mkoani TIBETI nchini CHINA.

DALAI LAMA WA SASA

DALAI LAMA wa sasa ni DALAI LAMA wa 14,
Wakimaanisha kuwa huyu DALAI LAMA wa sasa,
Ni yule yule DALAI LAMA wa kwanza aliekufa,
Ambapo baada ya kufa ameendelea kuzaliwa na ataendelea kuzaliwa mpaka mwisho wa dunia,
Ambapo mpaka sasa amekufa mara 14 na amezaliwa tena mara 14,
Kwani BUDHA wao huamini kuwa binaadamu akifa huzaliwa tena,
Na anapo zaliwa huzaliwa na mwili mpya, sura mpya na jina jipya,
Huyu wasasa alizaliwa 6/7/1935 kijijini TAKTSER mkoani TIBETI nchini CHINA,
Jina lake kamili anaitwa TENZIN GYATSO,
Hilo ndiyo jina halisi la kuzaliwa aliliopewa na wazazi wake,
Kama nilivyo sema hapo juu kuwa huyu ni DALAI LAMA wa kumi na na nne.

ANAPATIKANAJE?

Katika dini ya BUDHA wao huamini kuwa binaadamu akifa,
Baada ya muda huzaliwa upya akiwa na mwili mpya kama nilivyo sema hapo juu,
BUDHA hawaamini kabisa kuwa mtu akifa ndiyo amekufa hapana,
Wanaamini mtu akifa kinacho badilika ni mwili tu,
Baada ya muda lazima atazaliwa tena katika mwili mpya,
Na atapewa jina jipya ila matendo yake yatakuwa yale yale,
Na waliopo duniani watamtambua kwa matendo yake,
DALAI LAMA wa kwanza alikua anaitwa GEDUN DRUPA,
Huyu alizaliwa mnano mwaka 1391 katika kijiji cha GYURMEY mkoani TIBETI,
Na kufariki mnamo mwaka 1474 na kuzikwa sehemu aliozaliwa,
DALAI LAMA mwengine huzaliwa na kutambuliwa na jamii ya TIBETI,
Baada ya DALAI LAMA wa mwanzo kufariki.

JINSI ALIVYO PATIKANA HUYU WA SASA

DALAI LAMA wa sasa alipatikana akiwa akiwa na miaka miwili,
Na alipatikana baada ya kupita miaka miwili,
Ambapo kiutaratibu DALAI LAMA akifa hutafutwa mwengine,
Kwasababu huwa wanaamini kuwa tayari kazaliwa mwengine,
Ila ili tumpate na kumjua ni lazima tufanye msako au uchunguzi maalumu,
Ambapo wahusika watamtambua kulingana na vigezo maalumu,
Ambavyo DALAI LAMA anatakiwa kuwa navyo,
Na msako huo hufanyika mkoa mzima mpaka apatikane,
Kwani huamini kuwa DALAI LAMA mwenye mwili mpya ameshazaliwa,
Kwahi baada ya kifo cha DALAI LAMA wa kumi na tatu mwaka 1935,
Uongozi wa dini ya BUDHA mkoani TIBETI,
Uliamua kumtafuta DALAI LAMA aliezaliwa upya,
Siku moja wakiwa kwenye msako wa kumtafuta DALAI LAMA mpya,
Walifika nyumbani kwa akina TENZIN GYATSO,
Kuomba maji ya kunywa huku wakiwa kwenye uchunguzi,,
Wakiwa hapo TENZIN alimfuata mmoja wa wageni wale,
Aliekuwa amevaa kitu cha mfano wa rozari akasema;- " YA KWANGU HII",
Mgeni yule alishtushwa sana na ile kauli,
Akamua kumuuliza unanijua mimi ni nani,
TENZIN alijibu kwa kusema;- WEWE NI LOBSANG TSEWANGWA HEKALUNI,
Yule jamaa akashangaa sana jina langu kalijuaje huyu mtoto,
Na amejuaje kama mimi natoka hekaluni,
Pale wakaamini kuwa yeye ndiyo DALAI LAMA aliezaliwa upya,
Ambae walikua wanamtafuta kwa miaka miwili,
Baada ya kifo cha DALAI LAMA aliepita ambae ,
Jina lake halisi alikua anaitwa THUBTEN.

BAADA YA KUGUNDULIKA

Baada ya kugundulika na kupatikana DALAI LAMA mpya,
Kiutaratibu hupelekwa hekaluni na kupewa heshima zote akiwa na umri huo huo,
Pia analetewa waalimu mbali mbali kutoka katika kila fani,
N hapo ndipo DALAI LAMA huyu alikojifunza electronics,
Nakuwa mtaalamu mkubwa wa mambo ya electronics,
Lakini pia mafunzo hayo humuongezea maarifa zaidi,
Na hayo mafunzo ndiyo yaliyomfanya huyu DALAI LAMA wa sasa,
Kupewa tuzo ya amani ya NOBEL mwaka 1989,
Na kuwa DALAI LAMA pekee aliewahi kutunikiwa tuzo hiyo mpaka sasa,
Kwasasa DALAI LAMA wa sasa ana umri wa miaka 90.
 
View attachment 3396637

Asante!
 
Asante sana umenipa kitu mkuu nilijua ni jina hili kumbe sivyo kabisa vipi kwenye mambo yetu yale ya kung fu babu yetu
Ni sehemu ya utamaduni wao. Hata Mshana Jr amehudumu sana kwenye Shaolin temple akiwa kama monk. Safari yake ilianzia kwenye temple ya pale mtaa wa Mindu Upanga Magharibi, kisha akaruka Hadi Africa Kusini ambako alikaa akijifunza utamaduni wa Kichina na mapambano, na baada ya hapo alienda China
 
Asante
 
Baada ya huyu China ameamua anamuweka wa kwake mwenyewe.....
 
Ni sehemu ya utamaduni wao. Hata Mshana Jr amehudumu sana kwenye Shaolin temple akiwa kama monk. Safari yake ilianzia kwenye temple ya pale mtaa wa Mindu Upanga Magharibi, kisha akaruka Hadi Africa Kusini ambako alikaa akijifunza utamaduni wa Kichina na mapambano, na baada ya hapo alienda China
Anaweza kuwa Dalai lama kutoka Milima ya upare baada ya huyu
 
Back
Top Bottom