Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Hujui maana ya Riya

Anaposema anaamka saa 9 usiku kuswali tahajudi hapo sio riya?
hakuna riya kwani mtume hakutuambia kam anaswali tahajud, au mke wake bi aisha hakusimulia kwamba mtume alikua anaamka usiku kuswali kwahiyo walikuwa wanafanya riya?
 
Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisi

Ibada ya usiku mnene ni ibada nzito sana,ni ibada za wacha mungu,hapo ni wewe ni Allah, kwanini utuambie kuhusu ibada baina yako na Mola wako

Sipo hapa kubishana na sina muda huo,yangu ni kufikisha ujumbe tu

Kwenye suratil mauun, tunaambiwa Ole wao wenye kuswali na huku wanajionyesha.....

Chochote cha kiibada basi kifanye baina yako na Mola wako,na sio kutangaza dunia nzima kwamba ujulikane unaamka usiku kuswali tahajud

Hii ni rai kwa waislamu wote popote pale walipo hakika riya ni shiriki ndogo,ambayo tusipo kuwa makini itatufelisha wengi

Asante
 
Pamoja na kuwa kwenye papers hujaweza kusanuka kuwa kuna fix kwenye uislam?hujajua kuwa kupuliziwa kwenye MN zingo sio jambo jema?
 
Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisi

Ibada ya usiku mnene ni ibada nzito sana,ni

Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisi

Ibada ya usiku mnene ni ibada nzito sana,ni ibada za wacha mungu,hapo ni wewe ni Allah, kwanini utuambie kuhusu ibada baina yako na Mola wako

Sipo hapa kubishana na sina muda huo,yangu ni kufikisha ujumbe tu

Kwenye suratil mauun, tunaambiwa Ole wao wenye kuswali na huku wanajionyesha.....

Chochote cha kiibada basi kifanye baina yako na Mola wako,na sio kutangaza dunia nzima kwamba ujulikane unaamka usiku kuswali tahajud

Hii ni rai kwa waislamu wote popote pale walipo hakika riya ni shiriki ndogo,ambayo tusipo kuwa makini itatufelisha wengi

Asante
Riyaa ni jambo linalohusiana sana na nia ya moyo, na hatuwezi kuhukumu nia ya mtoa mada kwa kutazama tu kwamba ameeleza ibada zake hadharani.
1. Riyaa ni nini?
Riyaa ni kufanya ibada au kuionyesha kwa watu ili waione, wakusifu, wakutukuze au upate hadhi mbele yao, badala ya kuifanya kwa ajili ya Allah.
 
Back
Top Bottom