Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Nimeshangaa sana yaan jamaa kaandika poa tu ila watu wamechukia shida nini ratiba ni ya kwake yeye katuwekea tuisome tumeisoma km ilivyo mimi sio wa imani hio ila ratiba yake nimeona haina kasoro labda kungekua na segment ya kwenda kujilipua hapo lazima ningepaza sauti
Watu wana matatizo sana.
 
Mtu ameweka ratiba vizuri tu,kosa lake nini?
Kosa lake ni kuhatarisha vijana wadogo kuiga huu utaahira wa kitabu kilichohalalisha utumwa kwa watu weusi na kuwakata korodani ili wawe ‘Eunuchs’,

Ni kama mtu alete ratiba zake za vitendo vya ushoga, halafu tukae kimya, kwamba ratiba ni yake kwahiyo haituhusu na tukae kimya..?
 
Achana na habari za utumwa twende kwenye mada mkuu, wewe ratiba yako ukiamka unaanzia wapi?
Ratiba yangu ni yangu, na ndio maana sijaileta hapa. Ila kwakuwa hiyo yenu imeletwa hapa, kuna hatari vijana wakaiga huo uwendawazimu wa kitabu kilichohalalisha utumwa na ukataji mapumbu ya watu weusi ili wawe ‘Eunuchs’…, kizazi cha watumwa weusi uarabuni kiko wapi? Yote ni matokeo ya kitabu hicho.., hatuwezi kukaa kimya..,
 
Nimeshangaa sana yaan jamaa kaandika poa tu ila watu wamechukia shida nini ratiba ni ya kwake yeye katuwekea tuisome tumeisoma km ilivyo mimi sio wa imani hio ila ratiba yake nimeona haina kasoro labda kungekua na segment ya kwenda kujilipua hapo lazima ningepaza sauti

IMG_8681.jpeg
 
Mshipa ulioenda ktk ubongo wako umezibwa na kinyesi, unahitaji upate upasuaji

Mpumbavu hujielewi.... endelea kuinamisha kinyeo kusujudu usichokijua na hakipo ! Wewe ishi, muda wa kufa ukifika habari imeisha ! Ndio maisha yalivo
 
mtu ameweka ratiba yake ila unayeumia ni wewe na wakati huo hiyo ratiba yake wala haikugusi wewe kwa namna yoyote ile.
Na maneno yako moja kwa moja yanaonesha unaumia maana umeweka lugha kali kama angekuwa ni mtu anayepotea basi ungeonesha hali ya kumhurumia na sio kumtumia maneno makali..
UMEUMIA SERIOUSLY...

Pole sana .... unatakaje kwa hio ? Ubongo kinyesi
 
Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.

Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.

Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.

Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
Uko poa aseeh, Sisi wengine tunaamkaga tuh, ni mbele mbele
 
Mashaallah. Muda wako mwingi unajitahidi kufanya mambo ya Msingi sana. 🙏🤝🤝
 
Hicho unachokifanya kuanzia saa9:30 hadi saa12 ni upuuzi....achana na hayo mambo ya ya kijinga ya shetani Allah
 
Back
Top Bottom