Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
Nilichopenda kwenye ratiba yako ni jinsi unavyompenda Mungu wako sijali imani yako kikubwa unamkumbuka aliekuumba ila yote kwa yote kuna watu hatunaga ratiba maalumu inategemea na jinsi nitakavyoamka siku ndio ratiba inaanzia hapo
 
Upumbavu.....Dini ni utapeli, unakatisha usingizi kwa sababu za kipuuzi ? Hiyo pepo unaijua ? Kuna ndugu yako alienda akarudi kukuhadithia? Ukifa umeenda babu, mambo ya hadithi sijui kifungu gani ni mambo ya ulimwengu tu .... Tunaishi mara moja tu
mtu ameweka ratiba yake ila unayeumia ni wewe na wakati huo hiyo ratiba yake wala haikugusi wewe kwa namna yoyote ile.
Na maneno yako moja kwa moja yanaonesha unaumia maana umeweka lugha kali kama angekuwa ni mtu anayepotea basi ungeonesha hali ya kumhurumia na sio kumtumia maneno makali..
UMEUMIA SERIOUSLY...
 
Anzishia uzi hii mada mpya kabisa.. twende ndani ya mada
Kwani hii comment ni nje ya mada hadi nianzishie uzi tofauti
Mada yako ni ratiba ya kusoma Quran iliyowapa waarabu uhalali wa kumiliki watumwa weusi, kuwahasi wanaume watumwa na kuwabaka wanawake watumwa, kwamba Mungu karuhusu.., hao hao wamekupa hicho kitabu…, sasa nianzishe vipi uzi mwingine na hapa umepewa maoni
 
mtu ameweka ratiba yake ila unayeumia ni wewe na wakati huo hiyo ratiba yake wala haikugusi wewe kwa namna yoyote ile.
Ratiba hii inaweza kufuatwa na mataahira wengine endapo isipotolewa maoni na kujadiliwa, kama ni yake basi angebaki nayo chumbani kwake na mke wake, sio kuileta kwa uma halafu achekewe, kuna vijana wadogo wasio na uelewa wanaweza wakaiga huu ushenzi toka kwa mabwana waliowahasi mababu zetu
 
Upumbavu.....Dini ni utapeli, unakatisha usingizi kwa sababu za kipuuzi ? Hiyo pepo unaijua ? Kuna ndugu yako alienda akarudi kukuhadithia? Ukifa umeenda babu, mambo ya hadithi sijui kifungu gani ni mambo ya ulimwengu tu .... Tunaishi mara moja tu
Heshimu imani ya mtu,wewe fanya unachoona kinafaa.
 
Ratiba hii inaweza kufuatwa na mtaahira wengine endapo isipotolewa maoni na kujadiliwa, kama ni yake basi angebaki nayo chumbani na mke wake, sio kuiletwa kwa umaa halafu achekewe, kuna vijana wadogo wasio na uelewa wanaweza wakaiga huu ushenzi toka kwa mabwana waliowahasi mababu zetu
Wewe ndio mjinga kwani unakereka nini,fata imani yako.
 
sasa mataahira waache na maisha yao.. hatuwez kuwa wote akili zifanane.
kila mtu aishi maisha yake.
UMEUMIA SANAA AISEE
Nitawaacha na maisha yao endapo na wao watauacha uma na maisha yao, wabaki na utaahira wao chumbani kwao, kitendo cha kuuleta huu utaahira kwa umma, na mimi nikiwa sehemu ya uma, lazima nitoe maoni ili kulinda vijana wadogo wasiingie kwenye huu ushenzi, damu za mababu zetu waliokatwa mapumbu bila ganzi kwa ruhusa ya hicho kitabu zinanililia
 
Wewe ndio mjinga kwani unakereka nini,fata imani yako.
Basi na wao wabaki na imani yao chumbani kwao, wasiilete kwa uma, ukiileta kwa uma, uma una haki ya kutoa maoni. Damu za mababu zetu waliokatwa mapumbu bila ganzi kwa ruhusa ya kitabu hiki zinalia kwa uchungu. Soma kuhusu ‘Eunuchs’
 
Ndugu yangu katika imani,hapa umeteleza kidogo

ibada ni wewe na Allah,unaposhea na watu hapa ni kama unafanya riya/unajionyesha, na hukumu ya Riya unaijua ni kubatilisha matendo yako mema


Allah atuongoze sote,amiin.
 
Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.

Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.

Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.

Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
ok.🐒
 
Kwani hii comment ni nje ya mada hadi nianzishie uzi tofauti
Mada yako ni ratiba ya kusoma Quran iliyowapa waarabu uhalali wa kumiliki watumwa weusi, kuwahasi wanaume watumwa na kuwabaka wanawake watumwa, kwamba Mungu karuhusu.., hao hao wamekupa hicho kitabu…, sasa nianzishe vipi uzi mwingine na hapa umepewa maoni
Achana na habari za utumwa twende kwenye mada mkuu, wewe ratiba yako ukiamka unaanzia wapi?
 
Mtu ameweka ratiba vizuri tu,kosa lake nini?
Nimeshangaa sana yaan jamaa kaandika poa tu ila watu wamechukia shida nini ratiba ni ya kwake yeye katuwekea tuisome tumeisoma km ilivyo mimi sio wa imani hio ila ratiba yake nimeona haina kasoro labda kungekua na segment ya kwenda kujilipua hapo lazima ningepaza sauti
 
Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.

Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.

Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.

Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
Wewe na Allah hamnazo.
 
Back
Top Bottom