Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,533
Reaction score
14,835
Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.

Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.

Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.

Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
 
Upumbavu.....Dini ni utapeli, unakatisha usingizi kwa sababu za kipuuzi ? Hiyo pepo unaijua ? Kuna ndugu yako alienda akarudi kukuhadithia? Ukifa umeenda babu, mambo ya hadithi sijui kifungu gani ni mambo ya ulimwengu tu .... Tunaishi mara moja tu
 
Mshipa ulioenda ktk ubongo wako umezibwa na kinyesi, unahitaji upate upasuaji
 
downloadfile-125.jpg
 
Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.

Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.

Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.

Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe

Wewe jee? Ipi ratiba yako?
Dua ya kumshukuru mungu muarabu kwa kuzamisha jua kwenye tope zito na kulichomoza topeni vp..... pia hizo dua unazo muomba Mungu Muarabu zingatia kutumia kiarabu kwa sababu ndiyo lugha ya Mungu muarabu.
 
Nina swali kidogo,

Kwenye kazi zako kunahusisha watu wengi?

Na kama ni watu wengi ,wakristo ama dini nyingine wapo?

Je ,unachangamana nao vipi watu wa dini tofauti na wewe?
 
Back
Top Bottom