game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,326
Kila mtu afanye mambo kwa maslahi ya Jamii yake,Mbona unawaabudu Sana hao wachaga?
Eti nyumba ya wachaga kuna nyie. Mzee mbona unaabudu watu.
Hivyo vikabila vidogo vya huko ndo viwe top Kwa idadi ya watu wenye hela nchini.
Anyway sitaki ligi na kabila ambalo Kwa wahaya ni subtribe ndogo .
Sijawahi ona mkinga kagera kama yupo nitajie. Nyie mmejazana kariakoo tu.mwanza huko sijawahi ona mkinga.
Na nenda kaulizie huko bukoba kama wakinga wanafahamika hata hawajulikani.
Bado unamentality ya kuwa wahaya ni wasomi Tu sio wafanyabiashara wahaya sio wachuuzi mzee .Iangalie Dar watu wenye hela ni wakina Nani ,nenda mwanza ,angalia idadi ya wasafiri wa ndege kuelekea bukoba kila siku mji mdogo but Una abiria wengi wa ndege. Hiv huko njombe kuna airport kweli
Huku kwetu Kusini hatufanyi mambo kwa kushindana na fulani, and the fact is tumeshapiga hatua sana na Jamii zetu zimesoma ,
Ndio maana ni nadra sana kuona nyuzi za kujimwambafai eti sisi ni zaidi ya fulani ikiwa waafrica wote ni watu masikini..
Suala la kusoma dunia ya leo sio la kujisifia tena maana kila mtu amesoma,
Tena elimu ni basic need, wala halimfanyi mtu awe na significant advantage kuliko mwingine kwenye maisha kwa upana wake,
Niseme tu, Mikoa kama Iringa ukianzia mji na wilaya zake kwakweli tumefika mahala na tunaona tulikotoka, si haba. Na hapa tulipofika haikuwa juhudi za wasomi pekee bali ni collective efforts za watu wenye uchu wa kujikwamua kwenye umaskini wa Kiafrica,
Njombe pia na wilaya zake na Mbeya as well,
Tukiendelea hivi miaka 20 mbele tutakuwa mbali zaidi.
Ndugu zangu wana Iringa tuendelee kuchapa kazi. Mashindano ya nani anamzidi nani ni mambo ya kishamba na ya kizamani.