Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,905
- Thread starter
- #441
Njombe kama kawaida inazidi kuchanja mbuga ๐๐๐๐
๐
Njombe kama kawaida inazidi kuchanja mbuga ๐๐๐๐
Hapa ndio tunaona umwamba wa Arusha ๐Unaweza kuta mengi ya mapato ya Bukoba ni yale ambayo TRA wanakusanya ,tafuta regional statistics za TRA unaweza kuta Kagera iko vizuri
Lakini kwa mapato ya mtu mmja mmja na vyanzo ambavyo Tamisemi inasimamia basi huo ndio ukweli kwamba mna pesa kiduchu hapo Manispaa uchwara ya Bukoba,TRA hiyo hapo check kama mpo
Muleba mnaichukulia poa sana, kisa haina maghorofa, asilimia kubwa ya Ziwa Victoria lipo Muleba ikiwa ni pamoja uwepo wa visiwa vingi vya uvuvi na sio Bukoba, mapato ya uvuvi (leseni/ vibali vya usafirshaji) mazao ya uvuvi yanaingia Muleba, bado usajili wa vyombo vya uvuvi, mialo. Bado ujagusa kilimo, hasa ndizi, maharage, vanilla, parachichi, misitu ya mbao, eneo ambalo Muleba ina uwezo wa kufanya vzuri zaidi kuliko Bukoba kutokana na uwepo mkubwa wa aridhi ya Kilimo kuliko Bukoba mji na Bukoba Vijijini.Muleba imeizid bukoba mjini yenye bandari na viwanda na viwanja vya ndege naomba nielimishwe kidogo.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Arusha sio ya mchezo mchezo๐Hapa ndio tunaona umwamba wa Arusha ๐