Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Moja kwa Moja kwenye mada,

Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..

Kigezo kinachotumika ni Makusanyo ya Mapato ya Ndani kuanzia shilingi Bilioni 4 na kuendelea kama yalivyoandaliwa na Tamisemi kwa mwaka 2021/2022.

Makusanyo hayo yanaashiria kwamba maeneo hayo yana shughuli za Kiuchumi zinazoleta pesa kwa watu na hivyo watu Wana purchasing power nzuri..

Figures are in Billions Tanzania Shilling.

1. Dar es Salaam CC=167.557

2. Dodoma CC=45.108,

3. Mwanza CC=27.688,

4. Arusha CC=24.333'

5. Tanga CC=17.392,

6. Mbeya CC=15.228,

7. Chalinze DC=10.240,

8. Mkuranga DC=10.011,

9. Kahama MC=9.957,

10. Morogoro MC=9.353,

11. Geita TC=9.024,

12. Tunduma TC =8.593,

13. Njombe TC=8.473,

14. Mufindi DC=8.232,

15. Moshi MC=7.570,

16. Tarime DC=6.718,

17.Mafinga TC=6.306,

18. Mbarali DC=6.241,

19. Rufiji DC=6.040,

20. Muleba DC=5.718,

21. Hanang' DC=5.655,

22. Mbinga DC=5.578,

23. Rungwe DC=5.521,

24.Kibaha TC=5.352,

25. Morogoro DC=5.268,

26. Geita DC=5.186,

27. Chunya DC=5.113,

28. Shinyanga MC=5.100,

29. Kilosa DC=5.093,

30. Iringa MC=5.018,

31. Kaliua DC=4.981,

32. Songea MC=4.912,

33. Ifakara TC=4.898,

34. Tabora MC=4.827,

35. Kilwa DC=4.779,

36. Mbeya DC=4.778,

37. Karatu DC=4.746,

38. Kibaha DC=4.664,

39. Msalala DC=4.634,

40. Misenyi DC=4.595,

41. Tandahimba DC=4.507,

42. Tanganyika DC=4.452,

43. Rungwe DC=4.421,

44. Tunduru DC=4.400,

45. Bagamoyo DC=4.322,

46. Singida MC=4.286,

47. Igunga DC=4.207,

48. Wanging'ombe DC=4.186,

49. Ngara DC=4.142,

50. Njombe DC=4.001..


My Take..

Mikoa ya Dsm, Pwani, Mbeya, Morogoro, Njombe na Shinyanga Wilaya zake ziko vizuri sana.👇

Screenshot_20220803-092910.png
Screenshot_20220803-093034.png
 

Attachments

  • Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2021-22.pdf
    502.1 KB · Views: 65
Moshi mmetuonea!
Moshi ni dead town, ilikuwa zamani enzi za Panjuani, Arawa hotel n.k mji ukishakuwa na masheria mengi fursa za biashara zinapotea unaendelea kubali hivyo hivyo, watafutaji wanakimbilia sehemu zilizo looz kwa biashara (la manyani) ninyi endeleeni na vibiashara vyenu vilivyopitwa na wakati vya karanga, ku brash viatu, na umachinga wa kutembea na mabango ya bidhaa halafu mkipata miatano mkanywe mbege ndio maendeleo yenu.
 
Morogoro ingebidi iwe ya nne hapo sehemu zenyewe idadi kubwa ya watu ndo zina mzungurko mkubwa WA pesa na kufanya mji kukua sasa sijui wewe umetumia kigezo gani


Eti mwanza ipo chini ya dodoma
Wewe una matatizo,nimekuwekea Orodha ya Serikali na vigezo vya mapato afu wewe unajiuliza vigezo..

Watu wengi ndio maana yake nini kama kumejaa umaskini?
 
Back
Top Bottom