instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Mbona unawaabudu Sana hao wachaga?Wewe hili povu kawatolee National Bureau of Statistics,sio mimi nilisema Kagera ni Kati ya mikoa maskini Sana hapa Tzn yaani mko top 5 ya maskini .
Kumbuka mjumbe hauwawi.Ni uzwazwa kukana credible sources huku ukitaka kutuaminisha feelings zako,hiyo haipo.
By the way wewe ni nani hadi ushindwe kutoa heshima kwa wachapa Kazi wa Mkoa wa Njombe ? Tunajulikana Tzn nzima kwamba nyuma ya Wachaga kuna Wakinga sijui wewe nshomile unataka kusemaje.
Tumejenga miji zaidi ya 10 Tzn hii,imagine hadi Mwenyekiti wa wachimbaji madini wadogo Tzn hii ni mwamba kutoka Njombe lakini kwetu hatuchombi dhahabu.
Unatujua au unasimuliwa mkuu.Nyie nshomile endeeni kuajiriwa na kujisifia kwa makaratasi tuu.
Eti nyumba ya wachaga kuna nyie. Mzee mbona unaabudu watu.
Hivyo vikabila vidogo vya huko ndo viwe top Kwa idadi ya watu wenye hela nchini.
Anyway sitaki ligi na kabila ambalo Kwa wahaya ni subtribe ndogo .
Sijawahi ona mkinga kagera kama yupo nitajie. Nyie mmejazana kariakoo tu.mwanza huko sijawahi ona mkinga.
Na nenda kaulizie huko bukoba kama wakinga wanafahamika hata hawajulikani.
Bado unamentality ya kuwa wahaya ni wasomi Tu sio wafanyabiashara wahaya sio wachuuzi mzee .Iangalie Dar watu wenye hela ni wakina Nani ,nenda mwanza ,angalia idadi ya wasafiri wa ndege kuelekea bukoba kila siku mji mdogo but Una abiria wengi wa ndege. Hiv huko njombe kuna airport kweli