Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia bongo

hivi kana nini na nini vyenye burudani.....I mean ukiendesha unapata nini zaidi ya mimi ninayeendesha vitz....kwa mfano tu.....
raha yake ni kwamba linabugia mafuta mengi zaidi tofauti hivi vya akina kajamba nani!!!???
 
Haya Magari kwa nchi masikini ni shida tu. Hebu ona Mhindi na Bugatti Veyron yake akihangaika kutambaa huko India.

 
Last edited by a moderator:
imagesCAW3UEJT.jpg

Mkuu Young Master hii kitu yako hii ushaiuza au bado iko barabarani aise
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.

481172_144091479092772_630914720_n.jpg

Najaribu kuangalia vyema naona ipo barabarani nadhani inatembea lakini kama macho yangu hayakosei sioni kama kuna mtu ndani. samahani lakini
 
Kuna vitu mie hata huwa sielewi
Asa Lambogini ndio nini? Afu ya njano kama vibao vya Yasinta???
 
Back
Top Bottom