wadau hata hao wanaolalamika kwamba kununua gari ya
thamani kubwa hivyo ni ulimbukeni wanatudanganya
hakuna mtu ambaye hapendi kumiliki kitu cha tofauti
na mwenzie kadiri ya uwezo wa kiuchumi
alionao, ww unaemiliki vitz pia kuna ndugu zako
wana shida zaidi yako je umewapa msaada
gani kwa hivyo tu vijisenti vyako ulivyowazidi navyo?
tutegemee pia ungekua bilionea usingetembelea vitz, unatudanganya
kwa Davis nayemjua mimi kitakachomuathiri kwenye hiyo
gari ni barabara zetu mbovu tu, na acheze nayo zaidi huko masaki kwake na ikizd sana kijitonyama ofisini, lakini kwa swala la mafuta yeye ni mmoja wa wauzaji wakuu shida hapo ya consumption ataipataje?