grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Nenda Kariakoo halafu muite jamaa jembe uone reaction yake. Mambo yote mpini banah...Umepotea sana jembe, upo!?
Nenda Kariakoo halafu muite jamaa jembe uone reaction yake. Mambo yote mpini banah...Umepotea sana jembe, upo!?
Bila shaka atakuwa anaishi kwenye Filling Station tu.morogoro road.
LHD nani anataka kujipa shida kisa lamboghin
Mh kumbe mimi nilidhani ni bei kama ya duet!
Lkn haina mvuto sana imekaa kama vigari vya kuchezea watoto.lol!
Nenda Kariakoo halafu muite jamaa jembe uone reaction yake. Mambo yote mpini banah...
Gari ziko poa sana kwa mazingira ya kule kwao(USA),But kwa mazingira yetu na miundombinu hiiShida au starehe mkuu?
Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.
![]()
Ukitaka kujua maajabu ya Bongo nenda TRA ukaulizie huyu Bwana Kodi amelipa kiasi gani mpaka sasa unaweza kukuta hata 2m haifiki pamoja na kumiliki gari kama hiyo,wakati mfanya kazi anayepata chochote zaidi ya 170,000 hukatwa 14% kama kodi.
Basi nunua bugatti veyron au Lamborghini aventedor.
na garage.Bila shaka atakuwa anaishi kwenye Filling Station tu.
Uwezo wa bodaboda sina hizo majina yananiletea kizunguzungu, ndio bei gani kiongozi Young Master ?
ndo mana mkaletewa RANGE ROVER.Hivi gari kama hii sisi wenye kimo kama cha Hashim Thabeet si mateso tu. Hicho kinamfaa huyo mmiliki wake na wale wenzetu kutoka misitu ya Kongo.
Bila shaka atakuwa anaishi kwenye Filling Station tu.
Bugatti veryon yenye 16 cylinder, engine type w inauzwa $1,700,000 sawa na Tshs.2,754,000,000