Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
kila mtu hujikuna anapofikia.......
labda na mimi nikifika huko nitaliendesha
labda na mimi nikifika huko nitaliendesha
Kuna vitu mie hata huwa sielewi
Asa Lambogini ndio nini? Afu ya njano kama vibao vya Yasinta???
Maneno ya wakosaji! muacheni mwenzenu apumuweeeeee.....!
Maneno ya wakosaji! muacheni mwenzenu apumuweeeeee.....!
![]()
Hiyo gari ni 2 passengers only. Hiyo sehemu ya nyuma yote ni Engine. Nadhani ni Rolls Royce Gasoline turbine. Hosepower yake ni balaa.
Preta sijui kama kuna la ziada zaidi ya kuwa una gari ya kifahari barabara za bongo matope na mashimo kama mahandaki
Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.
![]()
Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.
![]()
..wanunuzi wa haya madudu wanataka kuonyesha tofauti ya mafedha tu hamna ziada..hivi kana nini na nini vyenye burudani.....I mean ukiendesha unapata nini zaidi ya mimi ninayeendesha vitz....kwa mfano tu.....
Ni vizuri lakini kwangu naona ni ujinga kumiliki gari kama hili hapa Bongo kwa sababu zifuatazo:
1. Hakuna barabara nzuri (hili gari inabidi liendeshwe sehemu kama Ulaya kwenye barabara safi)
2. Hili ni gari la speed (Utakimbiza wapi hapa Bongo na foleni yote hii pamoja na maandaki kibao barabarani)
3. Hakuna kanuni za barabarani hapa Bongo hivyo ni rahisi kukanyangwa na kutupwa mtaroni na madaladala
4. Inakula sana petroli na kwa foleni za Bongo ni sawa na kumwaga pesa shimoni
..wanunuzi wa haya madudu wanataka kuonyesha tofauti ya mafedha tu hamna ziada..
..mbaya zaidi huku bongo tunajua hammer,vx,benz na vigari vyetu tunavyopigana pasi na daladala kila siku, bilioni moja niitupe kwenye gari !! wakati ka vx keusi tu trafiki wanakaogopa ??Kuna SUV nzuri za kutumia kwenye barabara zetu mbovu, lakini sio kuwa na hiyo gari kwenye picha. Ni sawa na kuvaa suti ukiwa unaenda kuogelea! Kwa mtu wa namna hiyo, Porsche Cayenne ingemfaa sana tu kwa sababu iko juu, haiwezi kumsumbua kwenye matuta.