Hii ndio Kinondoni bwana!!

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
27
Kinondoni ni moja ya wilaya tatu zilizopo katika jiji la Dar es Salaam, nyingine ni Temeke na Ilala.
Kinondoni ndio wilaya pekee isiyokuwa na timu ligi kuu hasa baada ya timu ya Villa Squad kujitutumua lakini mwishowe chama cha soka cha wilaya kikashindwa kuisaidia na hatimaye timu ikashuka daraja.
Kinondoni bado ni wilaya inayoongoza kwa kuwa na baa nyingi, kuna madai kwamba kuna baadhi ya maeneo ya Kinondoni kila baada ya nyumba mbili unakuta baa moja!
Ukiachana na hayo bado Kindondoni ipo juu kwenye suala la migogoro ya ardhi, kiwanja kimoja kugawiwa/kuuziwa watu zaidi ya watatu ni jambo la kawaida kabisa Kinondoni

Endeleza…
 
Hiyo red umenena jambo. Karibu kwetu kinondoni. Temeke ni wilaya ya Viwanda, umaskini na mabomu. Ilala ni wilaya ya maofisi, biashara, fujo na utapeli. Kinondoni ni wilaya ya Makazi ya Watu wastaarabu na matajiri. Mawaziri, Wabunge na Vigogo wengi wanaishi Kinondoni.
 
.. Ni taarifa uliyofanyia utafiti au unataka kufurahisha baraza mkuu??? Tupe data basi ya hizo baa nyingi unazodai ziko kinondoni na unalinganisha na wilaya gani nyingine na kwa idadi ipi?...Timu kufanikiwa ni kucheza soka si suala la kusaidiwa na chama cha soka ili ifanikiwe...Villa squad hawakuwa na uwezo wa kushiriki ligi ya vodacom timu za level yake ni zile akina Abajalo!!!!
 
Hiyo red umenena jambo. Karibu kwetu kinondoni. Temeke ni wilaya ya Viwanda, umaskini na mabomu. Ilala ni wilaya ya maofisi, biashara, fujo na utapeli. Kinondoni ni wilaya ya Makazi ya Watu wastaarabu na matajiri. Mawaziri, Wabunge na Vigogo wengi wanaishi Kinondoni.

karibu kwetu tegeta shemasi!hahahahah
 
Hahahaha! Katekista umeistukia hiyoe? Lol! Kimara iko Kinondoni bila ubishi.

karibu chawote bar.ukishuka pale utatukuta mimi na mpiganaji fidel-mzee wa mitandao-fedel matelefone.hahahahah

sisi tutakuja nyamachabez,au hata hapo tegeta by night
 
Wakazi wengi wa Kinondoni wana-own usafiri--foleni ya kinondoni haisababishwi na daladala kama temeke!!........Kimara, Mbezi beach,....
 
Hahahaha! Katekista unanivunjia mbavu zangu. Hiyo red lazima ulishamtafuna mnyama pale.Lol!
 
Na daladala za Kinondoni hakuna maDCM. Kinondoni hawapandi maDCM.
 
Hahahaha! Katekista unanivunjia mbavu zangu. Hiyo red lazima ulishamtafuna mnyama pale.Lol!

tegeta by night mbona saana tu!ngoja nitete na mpiganaji tuone kama tunaweza kuja huko.

au jumamosi twnde mburahati ''msikitini'' tukaswali?muulize mzee wa mitandao,kuna msikiti mzuri saana pale,heheheheh!
 
Taratibu mpwa, Mchungaji akiamka atatutimua kanisani. Hahahaha! Jana mpiganaji aliswali alafu akarudi kundini na safari lager.
 
kweli kabisa na ndio wilaya yenye kero kubwa ya foleni za magari kuliko zote!! mfano mkuu pale Ubungo.​
 
Hiyo red, ni kwasababu Kinondoni ndiyo wilaya ambayo watu wengi wanamiliki magari.
 
Back
Top Bottom