Hii ndio Kinondoni bwana!!

Hii ndio Kinondoni bwana!!

ndio wilaya yenye wasaanii wengi wala ngada/ sembe
 
------- nao wamejaa pale,
Maasi mengi huanzia huko,
Hata malaya wanaojiuza wilaya nyingine za dar wanasingizia kua wanaishi kino wakiamini dau litapanda

Hata hivyo ndio wilaya inayovutia zaidi kuishi hapa jijini
 
Vituo vya radio,TV asilimia kubwa vipo kinondoni,maeneo maarufu mf.(Masaki,Mbezi Beach,Mikocheni,Oysterbay,Manzese,Sinza,Ubungo,Msasani n.k)Vyuo vikuu vikubwa UDSM,Huria.Kituo cha mabasi ya mikoani,Mlimani city (shopping mall kubwa nchini) Makanisa Mengi n.k
 
Back
Top Bottom