Hii ndio Kinondoni bwana!!

Hii ndio Kinondoni bwana!!

Hivi yule jamaa anayeunda helcopter yupo k`ndoni vile au? kama jibu ni ndiyo, basi kinondoni noma !
 
suala la baa nyingi siyo tatizo kwani inawasaidia wauza kitimoto ili waweze kuishi
 
Wasifu wake:
1.Mipaka yake
Inaanzia daraja la selander unafuata mto msimbazi hadi daraja la jangwani,halafu morogoro road kulia yote mpaka mizani kiluvya halafu kulia mpaka daraja la miji na kufuata mto mpiji hadi baharini halafu unarudi kwa kufuata fukwe za bahari kuanzia bunju,mbweni,ununio,kunduchi,mbezi beach,kawe,mikocheni,masaki,oyesterbay hadi selander bridge tena .
2.Ina wabunge watatu (keenja,r.mlaki and idi azan)
3.Ina vyuo vikuu vitatu
4.Ndio inaongoza mauzo ya bia per square metre
5.Ajabu haina gereza hata moja!
6.Ina makaazi rasmi ya marais watatu wa nchi hii
7.In kiwanja kinathamani ya dola $2m
8.Kodi za nyumba ziko mpaka $15,000 kwa mwezi
9.Haina machinga hata mmoja anaeishi wote wanakuja na kuondoka
10.In ATMs nyingi kuliko wilaya zote
 
Kweli mkuu, labda ungeongezea band karibu zote maskani yake ni Kinondoni kama Akudo, Twanga, FM, Diamond Sound etc
 
Kinondoni ndio wilaya yenye Meya fisadi wa viwanja na ushahidi ukatolewa bungeni lakini hata hivyo CCM ikamkumbatia na kumchagua kuwa mjumbe wa NEC Taifa!!!
 
Wasifu wake:
1.Mipaka yake
Inaanzia daraja la selander unafuata mto msimbazi hadi daraja la jangwani,halafu morogoro road kulia yote mpaka mizani kiluvya halafu kulia mpaka daraja la miji na kufuata mto mpiji hadi baharini halafu unarudi kwa kufuata fukwe za bahari kuanzia bunju,mbweni,ununio,kunduchi,mbezi beach,kawe,mikocheni,masaki,oyesterbay hadi selander bridge tena .
2.Ina wabunge watatu (keenja,r.mlaki and idi azan)
3.Ina vyuo vikuu vitatu
4.Ndio inaongoza mauzo ya bia per square metre
5.Ajabu haina gereza hata moja!
6.Ina makaazi rasmi ya marais watatu wa nchi hii
7.In kiwanja kinathamani ya dola $2m
8.Kodi za nyumba ziko mpaka $15,000 kwa mwezi
9.Haina machinga hata mmoja anaeishi wote wanakuja na kuondoka
10.In ATMs nyingi kuliko wilaya zote
Nimeipenda sana hii!!!!!!!!!!!!!
Kweli hii ndio Kinondoni
 
Kinondoni ndio wilaya yenye Meya fisadi wa viwanja na ushahidi ukatolewa bungeni lakini hata hivyo CCM ikamkumbatia na kumchagua kuwa mjumbe wa NEC Taifa!!!
Na na mbumbu wa kutupwa, kuchaguliwa, wanakula nao 75% ya sisemi si ndo hao hao kina meya wetu!
 
Kinondoni ndio wilaya yenye Meya fisadi wa viwanja na ushahidi ukatolewa bungeni lakini hata hivyo CCM ikamkumbatia na kumchagua kuwa mjumbe wa NEC Taifa!!!
na wewe una nafasi ya kuwa fisadi vile vile! sasa nani wa kulaumiwa ? fisadi au anayekumbatia fisadi ?
 
Wasifu wake:
1.Mipaka yake
Inaanzia daraja la selander unafuata mto msimbazi hadi daraja la jangwani,halafu morogoro road kulia yote mpaka mizani kiluvya halafu kulia mpaka daraja la miji na kufuata mto mpiji hadi baharini halafu unarudi kwa kufuata fukwe za bahari kuanzia bunju,mbweni,ununio,kunduchi,mbezi beach,kawe,mikocheni,masaki,oyesterbay hadi selander bridge tena .
2.Ina wabunge watatu (keenja,r.mlaki and idi azan)
3.Ina vyuo vikuu vitatu
4.Ndio inaongoza mauzo ya bia per square metre
5.Ajabu haina gereza hata moja!
6.Ina makaazi rasmi ya marais watatu wa nchi hii
7.In kiwanja kinathamani ya dola $2m
8.Kodi za nyumba ziko mpaka $15,000 kwa mwezi
9.Haina machinga hata mmoja anaeishi wote wanakuja na kuondoka
10.In ATMs nyingi kuliko wilaya zote
hands down you win mzazi!
 
Kiukweli watu wamechangamka na maunga nayo yako nje nje(mihadarati)
 
1)Wabunge watoro majimboni mwao wanaishi wilaya ya kinondoni,
2)Nyumba nzuri zipo huku
3)mafisadi wengi huku
4)matajiri wa nchi hii wapo kinondoni
5)makanisa mengi ya miujiza huku
6)night club zipo za kutosha
7)wala kitimoto wengi huku
8)kambi kubwa ya jeshi huku
9)wachaga,wahaya wengi wapo huku
10)magari makali
11)mabinti watamu huku
12)viongozi,judges,wanasheria wengi wao wanapatikana huku
13)foleni ndefu,mbezi luis-ubungo,ubungo magomeni,
14)Ubungo bus terminal
15)mlimani city
17)shida ya maji kinondoni
18)polisi wala rushwa wakubwa wapo huku,magomeni,kawe,kimara,mabatini,na pale walipouza kabisa kiwanja chao panaitwaje..........!oysterbay
19)watu wanaishi kwenye mabonde mfano kimara,madale,mbezi,makongo,changanyikeni etc

.................
............
 
Umemsahau mbunge wa Kawe...

Mheshimiwa Halima Mdee
 
Wajanja na matajiri wote wa mujini wanaishi wilaya ya KINONDONI.
Kinondoni ni sehemu pekee unaweza kuletewa iPhone 4s orijino ukauziwa bei ya Nokia tochi (Obama) bar.
 
Back
Top Bottom