Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,065
Taratibu mpwa, Mchungaji akiamka atatutimua kanisani. Hahahaha! Jana mpiganaji aliswali alafu akarudi kundini na safari lager.
hicho kilaji mazee kilinishinda
Taratibu mpwa, Mchungaji akiamka atatutimua kanisani. Hahahaha! Jana mpiganaji aliswali alafu akarudi kundini na safari lager.
hicho kilaji mazee kilinishinda
Wabongo bana ovyo ovyo tuuu...
heheheh!kweli kinindoni imesheheni.mpiganaji ndio kilaji chake kileKile kinahitaji maandalizi katekista. Vinginevyo ni valeur nyingine ile.
heheheh!kweli kinindoni imesheheni.mpiganaji ndio kilaji chake kile
Kwa uchafu nadhani inaongoza,nenda Tandale kwa mtogole utakoma mwenyewe.
Na bila kusahau kelele za ngoma na taarabu yani taabu tupu.
halafu huko tandika siku hizi WACHINA na WAHINDI kibao.kuna wachina wamechukua geto hapa manzese pia,hehehehehe kinondoni bana!Wakikusikia Tandika na Buguruni shauri yako.
.. Ni taarifa uliyofanyia utafiti au unataka kufurahisha baraza mkuu??? Tupe data basi ya hizo baa nyingi unazodai ziko kinondoni na unalinganisha na wilaya gani nyingine na kwa idadi ipi?...Timu kufanikiwa ni kucheza soka si suala la kusaidiwa na chama cha soka ili ifanikiwe...Villa squad hawakuwa na uwezo wa kushiriki ligi ya vodacom timu za level yake ni zile akina Abajalo!!!!
Acha uongo,DCM zipo za kumwaga,au unaongea bila kujua,angalia mwenge-mbagala alafu unipe jibu!!!
You are more likely kuporwa simu yako au kupigwa roba ukiwa Kinondoni kuliko sehemu yoyote ile Bongo. I dont feel safe at all nikiwa nakatiza streets za K'ndoni.
Yaani Kinondoni jirani yako kama sio shoga ni Changu au Kibaka....endelea!!