Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini