Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Naona umehitimisha kwa Lugha ya mabeberu!
Kiazi katika ubora wako
 
Naona umehitimisha kwa Lugha ya mabeberu!
Kiazi katika ubora wako
Watetezi wa CCM wamekariri ubeberu na ushoga kwa Akili zao ndogo wanadhani hicho ni kisingizio tosha, wamesahau kuwa watanzania wameamka wanazijua Sinema zao zote.
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujibu hoja za TL. Hivi hata wale wa kununua hawana msaada? Basi gawaneni majukumu.
1. Mapropesa wasifu zile tshs 50 mil za kila kijiji zilivyosaidia kuwakomboa watz wote kutoka kwenye umaskini kasi kubwa ya ajabu, ambayo haijawahi kutokea.
2. UVCCM watoe ushuhuda juu ya mafanikio ya kipekee yaliyoletwa na kukamatwa makinikia na mbinu mpya za kijeshi za ununuzi wa korosho.
3. UWT waelezee jinsi flyoverDar, madaraja ya baharini, madege makubwa yalivyowasaidia akina Mama wa vijijini na kuwafikisha haraka kwenye huduma za kujifungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini
Wewe ni mbumbumbu hujielewi ni watanzania wa wapi wamemchoka ? watanzania wa hapo gheto kwenu?acha ushamba wako toka kolomije na chato, nani kachanganyikiwa? Mmechanganyikiwa nyinyi mnaohaha kutaka kumuua kwa mara pili, wewe mwenyewe haupo sawa utaweza kuona Tundu Lisu hayupo sawa? Lisu hakupoteza umaarufu kwenye makinikia kwani tokea mwaka 1998 alikuwa akipinga mikataba mibovu na magufuli alikuwepo mbona hakuwahi kumsaidia kupinga? Kwa taarifa yako wewe kilaza biashara ya makinikia ipo kama kawaida wanapeleka ulaya Canada na sehemu zingine Duniani kimya kimya na wazungu wamelipa pesa nyingi imepigwa kimya kimya na Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite, wajanja wachache wanapiga pesa kuanzia ununuzi wa ndege ujenzi wa chato Airport na miladi yote mikubwa, wewe ndiyo umerukwa na Akili kwani badala ya kuijongeza umekariri vyote uliyolishwa na cyprian Musiba, hakuna mwananchi kamshitukia kuwa ni kibaraka bali wananchi wanalia na CCM kumpiga Risasi kwani kama sio CCM kumshambulia leo hii asingekuwa huko Ulaya, wa kubeba lawama zote ni CCM kwanza.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hilo jimbo kabla ya Lissu kuwa mbunge likikuwa chini ya mbunge yupi toka chama kipi??
Siku nyingine usijibu kirahisi hivyo,watu makini tunakuona bwabwa!!
 
Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?
Mbona ushoga uko tu umeuunga mkono au umeukata mkono swala hilo mwenyezi Mungu aliigharikisha nchi unanajua kwa nini haukuisha kwa wanaoamini dhambi hiyo ni dhambi kama vile usiibe.usizini,usiue na nyingine nyigi tu hii ni dunia ushoga na yote hayo yataachwa hapahapa DUNIANI
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Ushoga kamuulize mahiga.
 
Kwani kabla Tundu Lisu hajawa mbunge hao wana Singida walikua na maisha mazuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakwambi kuwa sikuambii kitu. Binafsi ni mwenyeji wa huko.. ww ws kuja ndio huwez kuniambia kitu.
Anyway mabishano si njia yangu.. ila kusema kuwa wanasingida mashariki wana tab sana.. utakuwa unaegemea upande mmoja..
Nimezunguka hii nchi sana. Kuna majimbo ya wabunge wa ccm hali ni mbaya kuliko hata ya nyumban.
Mfano mzuri ni kwa jiran. Hapo dodoma, wilaya ya kongwa mazingira ni mabaya kuliko hata singida..
Huwa nakuwa huko mara kwa mara kikazi. Na huwa nakuwa maeneo ya Ihanja, Iseke, Issuna, Ligwa, Sipuka, Unyahati, Mtunduru, Mungaa, Mwaru, Ighombwe n.k. Kwa ujumla nimezunguka sana maeneo hayo.

Gumanga, Ibaga, Iguguno, Mpambala, Mwangeza, Nduguti kote huko nimetifua. Kwa hiyo huwezi niambia kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hata mimi nakuunga mkono mkuu maana ukitembelea kwenye majimbo yanayoongozwa na wabunge wa ccm nchi hii yana maendeleo kama ulaya, Lissu ni mtu hatari sana amezuia maendeleo jimboni kwake pamoja na uwepo wa baraza la madiwani, Mkurugenzi, mwenyekiti wa halmashauri na mkuu wa Wilaya, wananchi jimboni kwa Lissu wanatuonea wivu sana wananchi tunaoongozwa na wabunge wa ccm maana tunaishi kama tuko Ulaya
 
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani
Kwahiyo mliona hoja zake ngumu kujibika hapo Lumumba wala hakuna mwenye uthubutu wa kuzijibu hoja zile mkaamua kutumia bunduki za kivita kuzima sauti yake,...hakika damu ya Lissu itawaandama hadi vizazi vyenu wajinga ninyi
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nimekufuata na huku Ankal kukuomba uache uongo.
Jimbo la Ikungi (na sio Singida Mashariki kama zamani) huwaelezi chochote kuhusu Lissu. Mtaje pale Ikungi,Issuna, Ulyampiti, Ng'ongosoro uone anavyoungwa mkono huku wakijua wazi kuwa umasikini wao sio Lissu sababu Bali serikali ya ccm kwani hadi 2010 tokea Uhuru walikuwa na wabunge wa ccm tuu.
Ila Lissu amewasaidia sana kujua haki zao.
Bingwa wa ccm Wa siasa Kinana alipiga kambi Ikungi na ubwabwa uliliwa sana 2015 ili kumkabili Lissu atoke lakini sio kukosa ubunge tuu Bali hata vijiji waliambulia vitatu tuu. Niendelee?
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hakuna wa kumzidi hoja mhe lissu sababu walioko ccm wapo kimaslai zaidi yaan hawaipendi ccm ila kwasababu ya tumbo wapo
 
Sijakwambi kuwa sikuambii kitu. Binafsi ni mwenyeji wa huko.. ww ws kuja ndio huwez kuniambia kitu.
Anyway mabishano si njia yangu.. ila kusema kuwa wanasingida mashariki wana tab sana.. utakuwa unaegemea upande mmoja..
Nimezunguka hii nchi sana. Kuna majimbo ya wabunge wa ccm hali ni mbaya kuliko hata ya nyumban.
Mfano mzuri ni kwa jiran. Hapo dodoma, wilaya ya kongwa mazingira ni mabaya kuliko hata singida..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuzitawala hisia zako kamanda...hilo neno "huniambii kitu" nimelitumia kama kachumbari kuongeza ladha ya muhigo wa kukaanga. Sikuwa na nia ya kukubeza.

Ni wapi niliposema/kuandika wana Tabu sana!? Nilichoandika ni kwamba HALI NI MBAYA SANA. Ukimnukuu mtu epuka kumlisha maneno.
Mimi nimezungumzia huko kwa sababu nakufahamu vilivyo kuliko hata kwetu kwenye chimbuko la mababu. Na nimekutajia sehemu chache tu za huko nilizopita na kufanya shughuli zangu.
Sikatai ya kwamba Kongwa kuna hali isiyoridhisha, lakini sio kwa kiwango cha hizo sehemu nilizokutajia. Kwa ufupi Singida mashariki hali ni mbaya sana na wanahitaji Mbunge ambaye atawasemea na kuwapigania shida zao.
Tundu Lissu alifaa kuwa Mbunge wa Kawe, Temeke, Kinondoni au Ubungo ili aendeleze libeneke vizuri.
Hawatendei Haki wana Singida mashariki na hili litakuwa dhahiri kwenye uchaguzi wa 2020.
 
Kazi ya pesa iliyoko kwenye mfuko wa maendeleo jimboni ni nini kamanda!?
Huo mfuko una bei gani? Milioni mia moja tu kama sikosei. Hebu zigawanye kwa kata zote, shule zote, vijiji vyote na hata zahanati zote na madaraja au barabara kama hawajaambulia laki moja! Sidhani kama unafanya kautafiti kabla ya kukurupuka humu! Maendeleo ya mahali hupelekwa na serikali kwani ndio wakusanya kodi na wapokea mapendejezo na maombi ya miradi kutoka kwa wabunge! Mbunge kazi yake ni kuhamasisha na kuibua miradi akishirikiana na wapigakura wake! Chunguza majimbo yanayoongozwa na ccm yana maendeleo ya kiwango gani kama siyo hakuna kabisa! Anza kuwakandia wabunge wa ccm kwanza.
 
Back
Top Bottom