Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Kila kitu Lissu,kila saa Lissukila kona Lissu.Kama ataendelea kujadiliwa hivi kuna kazi 2020!
 
Wana CCM wa kweli?? Sikujua hili mkuu! Kumbe wapo? Ndio waliomtosa Lowasa? Zipi sifa zao hao CCM wa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hajawaambia "ningewapoteza wote" waliimba wote kwa pamoja akiwapo Majaliwa 'tuna imani na Lowassa' mbele ya JK. Nani haogopi kupotezwa na gangstar? Ni wachache tuu walio jitoa maisha yao kwa ajili ya taifa.
 
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani
Wewe ni nani wa kupinga uahili wa Lissu??

Muulizee Anna Makinda wakati wa Bunge la katiba hakuna kipengele kiliachwa kupita bila kumtafuta Lissu afanye clarifications.

Lissu is another level, pinga, pinda pinduka, huo ndio ukweli kaka.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Mbona mbunge wetu sisi hajawai kusafiri kokote yupo bize tu na vikao vya Chama lakini hali ni ngumu uku.. Acha kulia kulia fanya kazi ujenge nchi yako sio vijembe kwa lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walituambia mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa umasikini nchini sasa sijui kama huko pia Lissu ndio mbunge. I just don't know.
 
Baada ya zoezi la kumuua kufeli sahivi ndiyo mnaona dawa yake ni kubishana nae kwa hoja, hoja zenu alishazipanguga zamani sana, halafu usiseme mna hazina mimi naona mna makapi tu hakuna wakupanga hoja na lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana hoja zozote huyo lissu na hakuna haja ya kumjibu. Mwache apoteze muda tu hiko kwa bwana zake. Hatutishwi sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!

Jimbo la lisu utalinganisha la Magufuli kalikalia miaka 20 na sasa ni raisi bado watu wanakunya maporini na mitoni wanakunywa maji pamoja na ng'ombe nyamaza wewe acha uzuzu
 
Ccm haina mtu wa kujenga hoja sasa hivi wote kazi yao ni kupiga vijembe kama alivyo mkuu wao

Ccm ya kikanda bashiru pole pole kabaka. Heri watasema nini zaidi ya wao kutwa kufikilia Nani akatwe nani abakizwe kwenye chama hawawezi hawawezi
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Baadhi ya hoja alizojenga zingezingatiwa hizi kelele za mikataba mibovu zingeepukika sahivi. Tusiwe watanzania tunaofikirishwa na Chama badala ya akili zetu tulizonazo. Swala la majimbo kua kwenye hali mbaya sio hilo la Lisu tu, Tanzania nzima ipo kwenye umasikini mkubwa sana, usidanganywe na miji michache ambayo inaonekana kua na afadhali, tembea nje ya miji kidogo na ujifikirishe. Usisubiri watu wafikiri kwa niaba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani
Sio kweli
 
Suala la kina Babu Seya ulishawahi kupata wasaa wa kupitia mafaili ya kesi nzima!? Maana mnatokwa mapovu kama nyie ndio mlikuwa wapelelezi na watoa Hukumu wa kesi husika.
Unajua Mazingira ya kesi ya kina Babu Seya na watoto wake!?
Mahakama ndio inajua Hilo
 
Hebu tujaribu risasi za LMG na kombora moja hiri rijamaa ni ra ajabu aisee.
 
Jimbo la lisu utalinganisha la Magufuli kalikalia miaka 20 na sasa ni raisi bado watu wanakunya maporini na mitoni wanakunywa maji pamoja na ng'ombe nyamaza wewe acha uzuzu
Zuzu ni hilo danga lako linalokutatua. Nenda Chato kajionee yanayojiri.
 
Back
Top Bottom