Ukiwa na akili timamu unatakiwa kusoma na kuelewa hoja husika ili uwe na uwezo wa kuitolea majibu sahihi au kujadili kwa weledi.Baadhi ya hoja alizojenga zingezingatiwa hizi kelele za mikataba mibovu zingeepukika sahivi. Tusiwe watanzania tunaofikirishwa na Chama badala ya akili zetu tulizonazo. Swala la majimbo kua kwenye hali mbaya sio hilo la Lisu tu, Tanzania nzima ipo kwenye umasikini mkubwa sana, usidanganywe na miji michache ambayo inaonekana kua na afadhali, tembea nje ya miji kidogo na ujifikirishe. Usisubiri watu wafikiri kwa niaba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu yeye ni Kinara wa kupingana na serikali ilihali wapiga Kura wake wanata tabu sana kupita maelezo.
Mimi nimemzungumia Lissu kwa sababu yeye ndiye Mbunge pekee wa JMT anayefanya shughuli za UHAINI kwa sasa dhidi ya Tanzania.
Ulafi wa madaraka ni kitu kibaya sana. Hautamuacha salama. Muda utaongea.