fukunyuku1234
Senior Member
- Mar 12, 2024
- 145
- 255
Hatari sana na sijui kwanini wanaruhusu fremu eneo la makazi wakati maeneo ya makazi na biashara yanatofautishwa
Mkuu inaoneka hizi fremu ni zako.Fremu zinakuhusu nini. Kwani kuna mtu amejenga kwenye kiwanja chako? Sawa umeshakereka na fremu kila kona sasa hebu toa ushauri kwa wenye fremu zao wabomoe wajenge nini sasa au wafanye nini. Usiwe unatoa lawama bila kutoa solution. Bata wahed!
Tiss nao wataweka kijitonyama.TUKO KWENYE UCHUMI WA MAFRAME
SASA MPAKA LUGALO BARRACKS NAO WANAWAWEKEA MAFRAME MNATEGEMEA NINI
PALE MAKAO YA FIRE KUNA FRAME
IKO SIKU MPAKA NJE YA JUMBA JEUPE PATAWEKWA MAFRAME 😄
OVA
Uchumi wa FREMU. Hii nchi kila mtu ni MCHUUZI. Au kama sio hivyo, basi ni DALALI.View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
Kama mna mawazo tofauti ya kibiashara kwanini msianzishe mnakosoa waliojaribuAkili za wtz wengi ndio zimeishia hapo freme freme freme hata mimi nikipiga hela najenga mafreme naenda kulala sifikirii kitu kingine nasubiri kodi.
Ni mifumo ya kiupenyo hakwepeki, vizingiti ni vingi bora kuanza na hatua hiyo ndogoMafremu yanachafua nchi. Hakuna mpangilio wa kazi kutokana na sehemu husika.
Watz wanaishi kukariri na kuiga kuliko kutumia bongo Zao kuja na mawazo bunifu. Mipango miji ifike mahala ichukue hatua.
aunge tu.Ndo vision ya kizmkaz ya 2050,ka vp aunge telah
Serikali inaoperate kama wale wazee vijijini ambao ukijenga nyumba ya bati wanakuroga ufeKuwa na kiwanda kwa Tz, TRA wanakuandama km unauza bangi vile
Kubadili fikra za frameconomicsWewe umefanya nini cha ajabu kuliko hao wenye ma fremu
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Wamezifungua mageti zipumueKila nyumba inaframe siku hizi zingine wamegeuza mageto na vijiwe vya story hakuna biashara mitaani.
Acha wivu na mawazo ya Watu. Ni ujinga kupangia watu wazima cha kufanya.Wewe fanya Hilo wazo lako Utapiga sana hela maana utakua peke yako. 😂️😂️😂️😂️😂️😂️View attachment 2939641View attachment 2939642View attachment 2939643View attachment 2939644
Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
St. Augustine Mwz nao wameshapiga ma frem ya kutosha tu barabarani 😀Nasubiri UDSM nao waamue kupiga frame ile fence yao ya Sam Njoma road. Maana kuna chuo cha Uhasibu Arusha wao tayari wameshaunga mkono framenomics wanazipandisha kwa kasi kwenye barabara ya Njiro. Yaani hadi maprofesa , majenerali wa jeshi, mapolisi wote wanawaza uchumi wa frame.
Tutaingia uchumi wa kati tukiwa wachuuzi wabobevu
Uchumi wa TZ unafongoka kwa jina la FrameNdo vision ya kizmkaz ya 2050,ka vp aunge telah