Kwanini fremu Dodoma zinafungwa sana na biashara kufa kila uchwao?

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,197
1,835
Nipo Dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,

Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,

Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,

Utakuta fremu Dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu

Naomba viongozi wa Jiji la Dodoma fatilieni hili swala, Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,

Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara, Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,

Hii inafanya bidhaa Dodoma kuwa kubwaa mno, inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
 
Nipo dodoma kikazi ila ninachojionea ni balaa ,

Fremu nyingi zinafungwa na watu wameshindwa biashara,

Najiuliza tatizo ni nini , Nilijaribu kuuliza baadhi ya wadau , wengi wameniambia Cha kwanza bei za fremu ,

Utakuta fremu dodoma Hadi laki 7 ukija hizo Kodi za kufanya biashara mji huu ni utitiri wa Kodi , ambazo hazina kichwa wala miguu

Naomba viongozi wa Jiji la dodoma fatilieni hili swala , Pana haha Gani mtu alipe TBS ,tra, mzani , bibi afya, usafi , mzani ,mlinzi,fire,

Jamani uongozi wa Jiji la DODOMA mnaumiza wafanyabiashara ,
Naomba wenye mamlaka ingilieni kati,

Hii inafanya bidhaa dodoma kuwa kubwaa mno , inafanya watu kuishi dodoma ni changamoto
Makao makuu ya ccm hapo kuna laana
 
Ninachokiona mimi kwa Dodoma wafanya biashara wanauza bei ya vitu kwa double price, hiyo inapelekea watu kuamua kuagiza mahitaji ya vitu kutoka DSM. Lakini pia Dodoma hakuna vitu vingi (varities) hivyo still watu wanaenda kuagiza vitu Dar. Nadhani hizo ni miongoni mwa sababu
 
Nilishawai nunua TV nchi 32 kwa 350 Dom noma aisee
 
Back
Top Bottom