Hii nchi kila kona fremu

Nasubiri UDSM nao waamue kupiga frame ile fence yao ya Sam Njoma road. Maana kuna chuo cha Uhasibu Arusha wao tayari wameshaunga mkono framenomics wanazipandisha kwa kasi kwenye barabara ya Njiro. Yaani hadi maprofesa , majenerali wa jeshi, mapolisi wote wanawaza uchumi wa frame.

Tutaingia uchumi wa kati tukiwa wachuuzi wabobevu
 
Fremu zinakuhusu nini. Kwani kuna mtu amejenga kwenye kiwanja chako? Sawa umeshakereka na fremu kila kona sasa hebu toa ushauri kwa wenye fremu zao wabomoe wajenge nini sasa au wafanye nini. Usiwe unatoa lawama bila kutoa solution. Bata wahed!
Mkuu inaoneka hizi fremu ni zako.
images (1).jpeg
 
Nasubiri UDSM nao waamue kupiga frame ile fence yao ya Sam Njoma road. Maana kuna chuo cha Uhasibu Arusha wao tayari wameshaunga mkono framenomics wanazipandisha kwa kasi kwenye barabara ya Njiro. Yaani hadi maprofesa , majenerali wa jeshi, mapolisi wote wanawaza uchumi wa frame.

Tutaingia uchumi wa kati tukiwa wachuuzi wabobevu
St. Augustine Mwz nao wameshapiga ma frem ya kutosha tu barabarani 😀
 
Back
Top Bottom