Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,987
- 6,970
- Thread starter
- #21
Mkuu Kuna muda unafika unakubali yaliyo tokea, hujawahi ona huna Kodi ya chumba umerushiwa vitu nje lakini bado unacheka huku moyoni pain la hatariKatika gali hiyo na bado wana maintain emoji, basi bado