Hii meseji hii, inasikitisha sana

Hii meseji hii, inasikitisha sana

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
3,009
Reaction score
7,018
Haya mambo yapo kwenye jamii zetu
 
Attachments

  • Screenshot_20260723-014132.jpg
    Screenshot_20260723-014132.jpg
    63.2 KB · Views: 18
Duh,
Inasikitisha sana..
Pombe + mizagamuo haiachagi mtu salama
Hii meseji imeni mkumbusha nikiwa geita Kuna sehemu palikua panaitwa lunguya bar, sasa nilikua napita zangu barabarani mara akaja dada Mmoja kabeba mtoto mgongoni, mara akaanza kulia asee Ali Lia huku anamfokea jamaa hivi kakalia kwenye kiti, yule dada alikua ana lalamika tabia ya mumewe kukaa na wanawake wanakunywa pombe usiku ilihali ni mume wa mtu na anachelewa kurudi home na akirudi kalewa asee inaumiza ACHA TU yule dada najua alienda beba kilicho chake akasepa, sasa huyo sio Kuna kabinti kembamba kazuri kalienda pale karibu na usbon geita kufumania mumewe, kaka Anza kulia sasa Kuna malaya wawili walikua pale na huyo kijana yani mume wa huyo dada, si wakaanza mzingua huyo Binti Mzee Binti akataka kujipima ubavu huku analia na hao malaya we ALIPIGIWA Hadi kuvuliwa nguo yani gauni linapandishwa alafu chupi inashushwa Kwa kweli huyo Binti alidharrishwa alafu ilikua mchana, sizani kama hio ndoa bado ipo
 
Mume mpuuzi sana, anaruhusu vipi mke kupigwa na malaya mbele yake.
 
Hapana umeelewa vizuri mke alikua ana lalamika mumewe kuchelewa kurudi home kumbe alikua na maana njema tu
Upo sahihi kabisa nimeelewa lakini usiishie hapo tu, kwanini lije swala la ninauhakika wewe ndiyo umeuleta nyumbani? Kwanini isiwe direct tu wewe ndo umeleta ugonjwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom