Hii meseji hii, inasikitisha sana

Hii meseji hii, inasikitisha sana

Hawa ndio utasikia wanashauri wenzao eti mwanaume ameumbiwa tamaa, hata akichepuka we tulia nyumbani kikubwa analea watoto 🤣🤣🤣
Kwanini magonjwa ya zinaa yakiingia ndani ya nyumba mshukiwa wa kwanza ni mwanaume?
 
Kwa hiyo unadhani niliweka uzi ili muamini? Ile ni taarifa mzee, muamini ama msiamini i don't give a phuck
Ndio maana sijapoteza muda kujielezea kwa wangese wengine walioanzisha uzi kuhusu hilo jambo

Jifunze kukubaliana na maoni ya kila mtu
Joanah inaonekana una jeuri na ni mtu wa matusi sana sijui Kwa Nini mana mi akili yangu inanambia ni Binti Mmoja mpole na mrembo but care not all way up, baby ❤️❤️❤️❤️❤️
 
Joanah inaonekana una jeuri na ni mtu wa matusi sana sijui Kwa Nini mana mi akili yangu inanambia ni Binti Mmoja mpole na mrembo but care not all way up, baby ❤️❤️❤️❤️❤️

TBH ... IDGAF what you think about me
 
Wote wawili hao ni wazee away games....sema mmoja ndo kajikwaa.
 
Back
Top Bottom