inasikitisha sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchi ikipata Hyper inflation there's no Comeback? Zimbabwe inasikitisha sana

    Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo! Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu mjasiriamali "hana ndugu", inasikitisha sana

    Haya matangazo ya mavazi yake yamekuwa ya kudhalilisha sana. Kama sisi haogopi kutukalia uchi basi awaopoge hata ndugu zake? Baba na mama yake si hawafikiwi na hizi video za X? Au ndio kusema Aibu Utaona Wewe!!!!!
  3. idiomer

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Mzazi anahangaika kusomesha mtoto na pia anahangaika kumpeleka Sober house

    Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru. Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house Inasikitisha sana.
  6. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Chelsea inasikitisha sana ilitakiwa iwe ya 16 hafi jana

    kwa huu msimamo hii timu inapaswa iwe chini sana. kwenye wanasema number don't lie lkn hapa namba zinadanganya
  7. amarina

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana; Anakufa mwanasiasa, wananchi wanashangilia

    Kama ilivyo desturi kisalimia. Nimesalimia. Inanishangaza kufuatia vifo vya wanasiasa kuanzia oct 29. ukifuatilia utakuta wananchi wanashukuru. Hii ni hatari sana. Na nadhani siasa inakwenda kuwa kazi ya ajabu sana maana wanasisa watakuwa wanajificha. Sasa kama mwanasiasa anajua kabisa akifa...
  8. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Hii stori imetaka kuniliza inasikitisha sana

    Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho. Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia ILIKUA tarehe 3/10/2021 asubuhi saa kumi na moja. Mama yake mzazi walie kuwa wanaishi NAE,j alikuja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

    Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
  10. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Gari zimezuiwa kupisha msafara wa mgombea mwenza CCM, inasikitisha sana

    Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite! Naona polisi wanasimamia kuhakikisha gari zinasimama kumpisha mgombea mwenza
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana na kuonesha hatuna Utu. Majini yametutawala kichwani. Kumuua huyu Dogo?

    Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu. Mwangalie hapa anatabasamu.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, ni kaka gani huyo anayemfuatilia Rose Ndauka wakimuhisi kuwa ni CHADEMA?

    Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele....Niache " Mfuatilie kwa uzuri hapa
  13. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  14. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana!

    Inatia huzuni, mtu unamwambia nikopeshe milioni tano nifund my business, au wekeza 5M kwenye hii business, some day you won't regret anasema kwa sasa sipo vizuri. Hazipiti hata siku mbili anaenda bar anawagharamia walevi bar nzima milioni 7.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

    Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote. Hivi ebu...
  17. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu wana hofu juu ya utekaji, inasikitisha sana

    Wasalaam!, Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu. Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Hapumui vema, halali Usingizi ukaja, Kibubu kinapukutika kwa kasi sana, Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena. Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni. Kilemba chawasha kichwani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Katika kila jambo tunalofanya, utu na ubinadamu viwe mbele kabla ya kile tunachotaka kufaidika nacho

    Inasikitisha sana Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
  20. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Upendo ukipitiliza unakuwa kero na utumwa!

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Hayana mwongozo ila kwa hili hapana! Mwanamke anakupenda vizuri ila sasa kila muda anataka mchat kana kwamba huna kazi za kufanya, akituma meseji ukawie kujibu "mbona kimya" zinakuwa mbona kimya, inakera. Kero! Hivi inakuaje mpenzi wako unampigia hapokei ya...
Back
Top Bottom