Ishara 4 Zinazokufanya Uonekane Kama Fala

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
750
Reaction score
1,745
✍️Nguvu ya mwanamume haipimwi kwa ukubwa wa sauti au ubabe wa nje, bali inapimwa kwa ukomavu wa kihisia na jinsi anavyolinda utu wake. Ukijikuta unafanya mambo haya manne, mtaani watakusoma kama mtu dhaifu na mwenye njaa ya kukubalika
👇
1. Kubembeleza Mtu Abaki Kwenye Maisha Yako
Mtu anayeonyesha ishara za kutaka kuondoka kwenye maisha yako, mfungulie mlango na umtakie safari njema. Ukianza kupiga magoti na kubembeleza upendo au urafiki, unajishusha thamani na kumpa kiburi cha kukuona huna maana bila yeye. Hii inaenda hata kwa mpenzi pia.

2. Kutuma Meseji Mfululizo. Ukimtumia mtu meseji akasoma na asikujibu, alafu ukaanza kutuma meseji zingine za kulalamika au kutafuta atensheni, unajidhalilisha. Ukimya nao ni jibu la kutosha; kama ana nia na wewe, atatafuta muda wa kukutafuta. Hata ukimpigia mtu simu, kama hajapokea na humdai huna haja ya kupiga tena, Missed call mwisho ni 2.

3. Kutumia Pesa Kufurahisha Watu.
Kununua nguo, simu, au kutoa ofa za gharama ili tu uonekane "mwamba" au "unazo" mbele ya watu ni ugonjwa wa kujitengenezea umaskini. Watu makini watakuheshimu kwa akili na misingi yako, sio kwa madeni unayoingia ili kufurahisha macho yao.

4. Kuomba Msamaha Hata Kama Hujakosea
Kuomba radhi kila mara ili tu "kulinda amani" hata pale unapojua kabisa upo sahihi ni ishara ya uoga. Tabia hii inawazoea watu kukubebesha lawama za kila kosa na inatengeneza mazingira ya wewe kuonewa kirahisi.
 
KUU NA KUBWA KULIKO ZOTE NI KWENDA MISIKITINI AU MAKANISANI . WEWE NI FALA NA ANITHI MKUBWA SANA WA AKILI.
 
Pamoja na kwamba nimekuelewa ila umetumia maneno makali sana hata hivyo wafuasi hawawezi kukuelewa.
 
SIKU ZOTE HUWA NASEMA HAPA JF KUWA WAPUMBAVU NA MAANITHI WA AKILI HUWA WANAJIFUNZA KWA HASARA NA MAUMIVU NA UCHUNGU MKUBWA KWA SABABU U PRACTICE UPUMBAVU WAO MAISHANI HADI DAMU IWATOKE NDIYO WANAAELEWA KWA KILIO NA KUSAGA MENO.
 
Duh!
 
Back
Top Bottom