Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Yaani hawa kupe wanakera jana wamenikamata maeneo ya Metropole wamejaa barabara nzima kama inzi sina kosa lolote wakahamia kwa abiria upande wa pili oooh kwa nn hajafunga mkanda yaaani ni shidaaa ipo siku nitalenga mmoja tu iwe mbaya mazima m1t1k4 yao!!
 
Aiseeee
 
Hivi traffic anakusimamisha kwa mbwembwe zote anakukagua kila kitu uko poa then baadae anakuuliza unaenda wapi? Wewe utamjibuje?

mwambie unaenda kwa dada ake;:: hawa jamaa kila siku wanansimamisha pale Oysterbay yaan asubuhi mida ya kazi wanajazana sana pale
 
amwambie unaenda kwa dada ake;:: hawa jamaa kila siku wanansimamisha pale Oysterbay yaan asubuhi mida ya kazi wanajazana sana pale

Pumbavu sana hawa jamaa,
Pole sana kama unatokeaga pande hizo coz kunakuwaga na jam ya kufa halafu ukute wanakusimamisha tena ndiyo balaa zaidi
 
Nadhani kero ya traffic sio Arusha tu,iko kila mahali.Ila kwa jinsi unavyoelezea, nadhani kwenu hali ni mbaya zaidi.Kwa kweli traffic ni janga la taifa,na mamlaka zinazo husika,zinalazimika kukomesha tabia hii,vinginezo tutaamini kwamba ni mradi wa wakubwa.Ndugu zetu traffic kwa kweli wapo barabarani kukusanya mapato,sijui kwa niaba ya nani,wala sio kuangalia usalama wa wanaotumia barabara.
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.

Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.

Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.

Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.

Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.

Nina hasira sana.
 
Halafu ule mtindo wa polisi kusimamisha magari huku wakiwa na bunduki na wamevalia majaketi yasiyopenya risasi huwa unanishangaza sana. Hivi kuulizia na kukagua vitu kama leseni, bima na fire extinguisher ni lazima uwe na bunduki na jaketi lisilopenya risasi? Hii ni mbinu chafu ya kuwatisha (intimidate) madereva ili wakimbilie kutoka rushwa pindi wanaposimamishwa.
 
aiseeeeee
 
Leo wamenidaka nikaleta noma mbaya kwa Yule mama wa matege hapo raskazone
 
Hhahahahahah kuwa makini mkuu nchi hii haina Serikali wanaweza kukubambikia issue yeyote ukajikuta unateseka sana bila msaada...Mimi nashangaa hivi sinilisikia zile torch hakuna tena? Juzi nashuka Moshi nikawakuta pale kilala wapo kwenye zile bumps wanapimia gari zinazoteremka kutoka Sadeki pale na wapo na kitorch sikuelewa kwamba matumizi ya tochi yamerudishwa teeena ama vip?
 
shida serikali ni ya kiswahili,wakito tochi wale wapi
 
Nadhani kero ya traffic sio Arusha tu,iko kila mahali.Ila kwa jinsi unavyoelezea, nadhani kwenu hali ni mbaya zaidi.Kwa kweli traffic ni janga la taifa,na mamlaka zinazo husika,zinalazimika kukomesha tabia hii,vinginezo tutaamini kwamba ni mradi wa wakubwa.Ndugu zetu traffic kwa kweli wapo barabarani kukusanya mapato,sijui kwa niaba ya nani,wala sio kuangalia usalama wa wanaotumia barabara.
Ukusanyaji wa mapato kupitia kwa traffic haujaanza awamu hii tu,tangu awamu iliyopita ya JK ni mwendo wa kukamuliwa tu daah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom