jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
- Thread starter
- #41
Nadhani katika Africa police wa Tanzania ndio wanaongoza kwa, ujinga, upuuzi, rushwa na Ushetani
Aiseeeeee
Nadhani katika Africa police wa Tanzania ndio wanaongoza kwa, ujinga, upuuzi, rushwa na Ushetani
Msome vizuri mleta mada! Amesema hata kama gari lako liko vizuri jamaa hawaelewi!
Yani hata gari imetoka show room leo lazima watatafuta tu kosa
Huwajui vizuri Trafiki wa Arusha wewe eeh?,watakugusa tu,labda uwe na mkonge tu ndo hutasumbuliwa,otherwise,watakushambulia wote na wanataka pesa yako kwa ulazima,hata kama ni kubambikiziwa kakitu.
Heri yako unaendesha meli maana baharini hakuna trafik
Sasa jamani Tutakula wapiii.
Aisee hapo King'ori huyo dada ni balaa nishasimamishwa mara mbili hapo. huna kosa anakwambia unaniachaje?
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.
Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.
Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.
Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.
Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.
Nina hasira sana.
Moshono wapo; Masai Camp wapo; Kijenge Tanki la Maji karibu na Impala wapo; East African Hotel wapo; Uhuru Road karibu na Friends Corner wapo; Fire wapo: Kama unatoka Moshono na Unaenda Kilombero, Nakumati (umbali wa kilomita 10), unasimamishwa mara sita kukiwa na wastani wa kila kilomita 2.5. Na kote unaposimamishwa ni lazima wakutoe upepo. Ukweli wanakera sana. Ni nani atatuokoa na kero hii?
Nimeyapita mengine hapa sanawari cedha yanatoa macho kama mademu wa mrina
Kuna hawa wanaokaa maeneo ya Triple A kuanzia asubuhi hadi jioni kunasiku nimewasikia wakiadidhiana eti mmoja anamwambia mwenzake usipojenga na kununua gari Arusha nenda katambikie!
Hicho kitrafiki chenye matege juzi kati nusuru nikizibuwe maeneo ya osterbay,kina mdomo mchafu sana
matatizo ya kuendesha IST,Noah,Passo,Raum,Spacio,Carina TI,Nissan March ndio hayo,Vumilieni tuu jombaaaa!!
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.
Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.
Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.
Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.
Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.
Nina hasira sana.
Siamini kama gari iliyotoka show room ina kosa...
Kuna ambao wameshanisimamisha na wakakosa kosa...
Ukiwa na hasira au ukiwa na furaha sana usiongee au kuandika kitu. Kaa kimya otherwise kuna siku utamtamkia mkeo jambo ukiwa na hasira ukakosa mke bado unampenda.
Pili, kama huna leseni halali halafu unaendesha chombo kibovu unategemea wazee wa favour wakupongeze ???
Tatu. Jifunze sheria za barabarani ukisha bobea hakuna trafik atakaekubabaisha, mtakua mnakwenda kifungu kwa kifungu.
Mwisho , usiendeshe ukiwa umelewa au una hasira. These simple rules will save your money as well as your life