Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Kosa kubwa limefanywa na serikali,hawa trafiki kama walivyo watumishi wengine wa umma wanatakiwwa kupewa uhamisho wa kituo cha kazi kila baada muda fulani kuepuka kuzoeana raia.
Dawa ni kuwaondoa kabisa barabarani na kuwapokonya efd machine
 
Narudia tena naapa lazima nigonge mmoja wao!.......Ha Ha Ha mnaweza mkafa wote ajali hiyo
 
Cha kushangaza mfano kwa huku Dar una canter unasafiri kwenda mtwara utajuta kuzaliwa kanakwamba umebeba Mabomu !
Utasimamishwa round about majani ya chai /gerezani, watakusimamisha, kona bandari, Kwa Aziz ally wapo, mtongani wapo, Mbagala misheni utawakuta, Kipati pale wapo, Mbagala terminal wapo, ukikaribia kongowe njia panda kibada wapo, kutoka hapo petrol station upande wa kulia hapo kongowe wapo na hapo Ni mkoa wa pwani umeuanza... Hivyo hivyo ni kusimamishwa tu hawakuachi labda ukute gari zimewaelemea unaweza pita ni bahati yako ni usumbufu na kupotezewa muda !
Lakini tujiulize hii ni kupunguza ajali Au kudumisha rushwa nchini ?
Inakera na inachosha,ni vile tu gari imekua ni sehemu ya maisha lkn kama sio hivyo nikuli park tu.
 
Yani hata gari imetoka show room leo lazima watatafuta tu kosa
kuna kosa linaitwa kutumia barabara vibaya.....alafu hakimu ni traffic....sasa madereva mnaachaje kuumia , hapo hata uwe na gari jipya kutoka kiwandani dakika tatu zilizopita, lenye vigezo vyote, unao
 
mpango mzima ni kukusanya 2000 kwa kila hiace ya abiria pale ngaramtoni ya chini kuelekea kisongo au mjini arusha....makamanda wamejipanga vilivyo kupokea kitabu cha tiketi au kadi ya gari iliyoambatanishwa na shs 2000 ili wanako wasione.!!!!
 
KITUKO:
Nimetokea iringa kwa basi, njiani kila akisimamishwa na traffic namuona konda anakunja 2000 na ile ratiba ya basi njiani.

Tulipofika stand mpya ya kibaha tukiwa tunatoka Traffic akaja kukagua nikasikia anaomba tiketi mbili na ratiba ya basi, konda akaomba tiketi kwa abilia nini akabeba na ile ratiba kumpelekea, ikachukua kama dakika 8 hivi, dereva kuona konda kachelewa akamfuata (sikujua kilichoendelea)

BAADA kurudi na kuturudishia tiketi zile za mashine konda akawa analalamika "HAWA JAMAA WAMEZIDI, YAANI KOOOTE HUKO TULIKOTOKA HATA HAPA WANATAKA HELA"

**haki kazi ipo this time*
 
kuna kosa linaitwa kutumia barabara vibaya.....alafu hakimu ni traffic....sasa madereva mnaachaje kuumia , hapo hata uwe na gari jipya kutoka kiwandani dakika tatu zilizopita, lenye vigezo vyote, unao
Only in Tz
 
KITUKO:
Nimetokea iringa kwa basi, njiani kila akisimamishwa na traffic namuona konda anakunja 2000 na ile ratiba ya basi njiani.

Tulipofika stand mpya ya kibaha tukiwa tunatoka Traffic akaja kukagua nikasikia anaomba tiketi mbili na ratiba ya basi, konda akaomba tiketi kwa abilia nini akabeba na ile ratiba kumpelekea, ikachukua kama dakika 8 hivi, dereva kuona konda kachelewa akamfuata (sikujua kilichoendelea)

BAADA kurudi na kuturudishia tiketi zile za mashine konda akawa analalamika "HAWA JAMAA WAMEZIDI, YAANI KOOOTE HUKO TULIKOTOKA HATA HAPA WANATAKA HELA"

**haki kazi ipo this time*
Alisema mwalimu ukila nyama ya mtu basi utaendelea tu hautaacha
 
Haya ya barabarani, kilichobaki ni kuchukua sheria mkononi tu. Fekelea mbali madudumizi haya. Gonga tu. Ukimkosa piga vibao. Wala rushwa hawa. Hakuna usalama barabarani. Wengi wa matrafiki ni wavuta bangi pia.
 
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.

Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.

Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.

Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.

Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.

Nina hasira sana.
Sasa hivi ndio wamekuwa balaa,Kuna Mdada mrefu mweupe mtu mzima,akikusimamisha bila Msimbaz hakuachii,makosa analazimishia.(Hizo hela wanazotafuta wanyonge unasikusanya,unapelekea mikosi familia yako we fala wa kirangi)
 
Haya ya barabarani, kilichobaki ni kuchukua sheria mkononi tu. Fekelea mbali madudumizi haya. Gonga tu. Ukimkosa piga vibao. Wala rushwa hawa. Hakuna usalama barabarani. Wengi wa matrafiki ni wavuta bangi pia.
Hatua ya muhimu sana kwa sasa,wamezidi kuonea wanyonge
 
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.

Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.

Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.

Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.

Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.

Nina hasira sana.
Duh arusha ni tabu tupu nakumbuka kuna siku namtoa mgonjwa Selian Arusha kwenda Kcmc mgonjwa yupo hoi hajitambui ila jamaa pale tengeru kanisimamisha katafuta kosa sina mwisho anadai sijasimama kwenye kivuko,,, ukizingatia hapakuwa na yeyote anaevuka na nilikuwa spidi chini ya 30 alituchelewesha pale hadi wenzake wakamwambia mgonjwa yupo serious waache... Baadae nasikia kuna ndugu yangu alimpa 10 ndo akampa akanirudishia leseni huko njiani bado nilikutana nao kibao na wanakaa sio chini ya watano kila kituo
 
Kuwapa rushwa tunataka wenyewe...
Hakikisha gari lako halina kasoro yeyote...
Na ukiendesha fuata sheria za barabarani, hakuna trafic atakayekugusa...
Sio kweli hii inawezekana ikiwa huna ishu ya haraka ili uweze kukomaa nao na kwenda kituoni maana huwa wanakuzungusha makusudi
 
Mkuu wamekukasirisha sana hadi ukawaita dumuzi, mbaya dumuzi akila anajisaidia hivyo hashibi, hakika wanatesa RAIA, wapi siro, wapi Lugola kama vipi tumwachie Mungu atajua chakuwafanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom