Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Sasa hivi ndio wamekuwa balaa,Kuna Mdada mrefu mweupe mtu mzima,akikusimamisha bila Msimbaz hakuachii,makosa analazimishia.(Hizo hela wanazotafuta wanyonge unasikusanya,unapelekea mikosi familia yako we fala wa kirangi)
Mara nyingi anakua amesimama mitaa gani mkuu?

Siku hizi washkaji wengi pale Chuga wakipigwa mkono hawasimami hata kwa dawa,wao ni nduki tu.
 
Hawa TAKUKURU mnawapa taarifa? Maana hawawezi kukurupuka tu kukamata Wala rushwa bila kupata malalamiko nendeni mkatoe taarifa mtego uwekwe mtu apate kichapo
 
Mara nyingi anakua amesimama mitaa gani mkuu?

Siku hizi washkaji wengi pale Chuga wakipigwa mkono hawasimami hata kwa dawa,wao ni nduki tu.
Leo alikuwa oysterbay,Kero kubwa sana kwa madereva
 
Ujinga u pale kibanda maziwa mida ya sita nilikua na mkonge (cruiser) natokea kwa iddy wakanipiga mkono huku wakatafuta kosa wee wakakosa nikatambaa apo na hasira zangu kichizi nafika ss apo kibanda maziwa, washenzi hawa apa
Nilitaka kumvaa mmja wao ananikimbilia kabisa katikati ya barabara anataka kusimamisha nlikanyanga clutch af nikakanyaga wese Rpm ikapanda nilitoka gari inaguruma mzee akaingiza upepo akasepa. Nafika triple A naenda mangurueni ety wamenifata na taxie yao haha nanjia ya uku inamawe nikasema hamnijui nyie
Ii cruiser imekua build kwa hizi road njoeni ligi mbona niliwaacha mazwazwa hao.. Wananchi niwanacheka tu.. Washenzi sana..nabaada ya mda nikarudi tna ilo eneo walilonifata mpk pale kibanda maziwa nikapaki nikasema mtu ajichanganye na ipasaka navunja miguu..*****
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom