Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Gari chafu linahusika vipi na usalama wa barabarani?

Ndiyo usumbufu tunaokwambia kwamba hawa jamaa ni shiderrrr.

Jana kuna jamaa kapigwa mkono sanawari Cedha traffic anamuuliza kwanini umebeba mayai kwenye siti ya gari jamaa akamwambia ulitaka nibebe wapi?
Mayai yenyewe tray3.
Baadae anamuuliza unapeleka wapi
 
Ndiyo usumbufu tunaokwambia kwamba hawa jamaa ni shiderrrr.

Jana kuna jamaa kapigwa mkono sanawari Cedha traffic anamuuliza kwanini umebeba mayai kwenye siti ya gari jamaa akamwambia ulitaka nibebe wapi?
Mayai yenyewe tray3.
Baadae anamuuliza unapeleka wapi

Hakuna haja ya kumjibu, unakanyaga mafuta tu...
 
Kuwapa rushwa tunataka wenyewe...
Hakikisha gari lako halina kasoro yeyote...
Na ukiendesha fuata sheria za barabarani, hakuna trafic atakayekugusa...
Huwajui hawa wajinga atakuambia "arafu we reo hujapiga mswaki" huku ana zunguka gari wakati hua ameshika leseni yako na kadi ya gari lazima ushuke umpelekee chochote ndio akuteme.
 
Mimi nimeamua kufanya hivyo.........coz hata nizikiri uchi.........nothing will change..........nchi ishakuwa ya kipuuzi hii........
sitaki presha zisizo za lazima..........

Lovely Preta; you made my blue monday start don a silver lining! usiishie hapo Preta; jiunge na Vuguvugu la mabadiliko chini ya GARI kubwa la UKAWA ili kumaliza kero hizi once and for all; Good day Preta
 
Huwajui hawa wajinga atakuambia "arafu we reo hujapiga mswaki" huku ana zunguka gari wakati hua ameshika leseni yako na kadi ya gari lazima ushuke umpelekee chochote ndio akuteme.

Kwanini umpe leseni original? mpe copy
 
Last week waligongwa wa5 kwa mpigo Ngaramtoni! Hako kenye matege hata mimi nakafahamu, nasikia kanakaribia kustaafu lakini kanavyopenda kusimama barabarani kanataka kuongeza mkataba!
 
Kuna jamaa mmoja kiboko kweli. Walimsimamisha Sanawari kwenye mataa akiwa anaelekea moshi. Jamaa akakata kona kuelekea barabara ya sanawari ajuu alikuwa akiindesha carter
Baada ya kutokutii amri ya Trafiki Matrafiki walimkimbiza mmoja wao akadandia nyuma ya carter , gari inakimbizwa kwenye rafu road yule trafiki aliteswa sana huku dereva hajui kama nyuma amedandia Trafiki.

Ha haa ikawaje sasa baadae?
 
nimehonga trafic mara moja tu triple A sikkua na fir extinguisher...tena kibabe cku zingine nkismamishwa naeza simama au nsi simame...kwanza subaru wanazismamisha kwa wasiwasi sana
 
na yale mapikipiki yanoyoongoza misafara ya viongozi nayo yanatega mingo rodini nadhani wale waendeshaji wanaona wenzao wanapiga bao na wao wakaamua kuzama mazima barabarani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom