Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

Kuna hawa wanaokaa maeneo ya Triple A kuanzia asubuhi hadi jioni kunasiku nimewasikia wakiadidhiana eti mmoja anamwambia mwenzake usipojenga na kununua gari Arusha nenda katambikie!
Khaa!! Kama katika jiji la Arusha kila watu 3 wawili ni wahalifu. Katika kila magari 10 saba ni ya wizi, Unategemea nini?? Toka lini Arusha wakavipenda vyombo vya ulinzi na usalama bana?? Tusiharibiane saumu bana :yawn:
 
Kwahiyo hao traffic police wanatafutaga wahalifu na magari ya wizi kila siku then wakishapata wahalifu na hayo magari wanatozwa rushwa na faini ya kuanzia 30, 000Tshs na kuendelea?

Usivamie soma vizuri uelewe kinachoongelewa hapa.
 
Khaa!! Wewe ndiyo hujaelelewa. Hakuna sehemu ilipotajwa faini. Na mtakamuliwa sana hadi mrudi kwenye mstari. Soma upya uelewe
 
Khaa!! Kama katika jiji la Arusha kila watu 3 wawili ni wahalifu. Katika kila magari 10 saba ni ya wizi, Unategemea nini?? Toka lini Arusha wakavipenda vyombo vya ulinzi na usalama bana?? Tusiharibiane saumu bana :yawn:

Khaa!! Wewe ndiyo hujaelelewa. Hakuna sehemu ilipotajwa faini. Na mtakamuliwa sana hadi mrudi kwenye mstari. Soma upya uelewe

Tuko kwenye kero za polisi wa usalama barabarani ktk mkoa wa Arusha.
 
Tuko kwenye kero za polisi wa usalama barabarani ktk mkoa wa Arusha.
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.

Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua kama huna hela Arusha kamwe hutaendesha gari hata kama gari lingekuwa jipya hutothubutu.Mbaya zaidi kama unatokea kisongo unaenda Kia imekula kwako kila mita 600wapo.

Anzia uwanjani Kisongo wapo,TANAPA,kona Mbauda,mataa ya Esso,kona ya TCA,Mianzini,Sanawari,kwa Mrefu,Daraja la Nduruma,,shamba la mbegu,Kilala,Makumira university,Usa River ,Maji ya Chai,Kikatiti,Funga kazi Ni King'ori kuna kadada kana miguu kama vibua kapenda rushwa mbaya na kengine kana matege kapo Arusha mjini hako ndo kiboko,nafikiri Arusha inaongoza Kwa kuwa na matrafiki wengi kuliko maaskari wa kawaida.

Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.

Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.

Nina hasira sana.

Khaa!! Kwa hiyo hizo ndiyo kero??
 
Wanaokereka wamechangia na wengine wamepita kimya kimya!! Kama kwako si kero Kwa wengine ni kero

Sasa hivi barabara ya ms-Ar ina traffic jam ya magari sana, assume unaenda KIA tu uanze kupangua jam ya magari then uje kwenye jam ya hawa wajinga from Chuga town to KIA yaani utatumia si chini ya one hr otherwise iwe ni usiku barabara iko clean.
 
Khaa!! Kama katika jiji la Arusha kila watu 3 wawili ni wahalifu. Katika kila magari 10 saba ni ya wizi, Unategemea nini?? Toka lini Arusha wakavipenda vyombo vya ulinzi na usalama bana?? Tusiharibiane saumu bana :yawn:

Avatar yako inajielezea Rohombaya
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa mmoja kiboko kweli. Walimsimamisha Sanawari kwenye mataa akiwa anaelekea moshi. Jamaa akakata kona kuelekea barabara ya sanawari ajuu alikuwa akiindesha carter
Baada ya kutokutii amri ya Trafiki Matrafiki walimkimbiza mmoja wao akadandia nyuma ya carter , gari inakimbizwa kwenye rafu road yule trafiki aliteswa sana huku dereva hajui kama nyuma amedandia Trafiki.
 
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika.

Kilichobaki ni kuwalipua kwenye vyombo vya habari au kuchukuwa hatua mkononi tu,tumechoka.Siku hizi mimi huwa sisimami kabisa.Haya matrafiki yana njaa kama dumuzi.

Sasa wanajamvi tuwachukulie hatua gani zingine za ziada kukomesha upuuzi huu maana mimi naweza kuja vunja mtu miguu.

Nina hasira sana.

''Tumechoka wapigwe Tu'' by Pm Pinda.

Huku itakuwa hatari-shida kubwa Mabosi wao ndiyo wanaowapangia mpaka kiasi cha kuwasilisha jioni kinyume hapo hupangiwi kwenda barabarani au unapelekwa kwenye sehemu barabara zenye magari ya Maofisa wa serikali au kwenye misafara.

Tusiwahukumu kwa kujaa barabarani, mto NDURUMA na kwa mrefu kiutawala ni maeneo tofauti, kwa refi huwa wanakaa upande wa kushoto ukitokea Moshi ili kuhakikisha usalama kwa magari yanayoingia kadhalika kwa maretu, ukiona wamezagaa kuna jambo wanalolifuatilia na huo ukaguzi ni zuga tu, tusiwazuie kufanyakazi. Rushwa ni utashi binafsi na hao Takukuru wamechoka kwa kukosa meno, kesi ya nyani umpatie tumbili haiwezekani, tumechoka ila tusiwagonge

Sasa ukaguzi hadi uchukue rushwa?
 
Siamini kama gari iliyotoka show room ina kosa...
Kuna ambao wameshanisimamisha na wakakosa kosa...

Mkuu una gari kwanza? Gari ikitoka show room tambua haina sticker ya insuarance, haina mtungi wa fire extinguisher, haina triangles pia wewe unayeiendesha unaweza kuwa huna leseni.

Kwa hiyo sio kweli kwamba gari ikitoka show room inakua haina makosa.
 
Kama unaongelea swala la kulitoa gari show room na kulipeleka nyumbani nitaelewa...
Ila kama unatumia gari ambalo halina hivyo vitu ni makosa...
Kama gari unataka liwe na hivyo vitu inabidi uvikamilishe ndo ulirudishe gari barabarani...
Hata hivyo kutokuwa na gari hakunifanyi nisijue sheria za usalama barabarani..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom