Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

Kwanini wagalatia mnawashwawashwa wakati mnajua kabisa Zanzibar ni Nchi kamili na ni ailimia 99% waislamu
Bara ndio secular, kwa uwiano wa kidini, na chaa ajabu wagalatia walivyaa mijini kutoka vijijini na kukuta makanisa ya kilokole mpaka vichochoroni, eti siku hizi wanajiona wako wengi kuliko waislamu, nadhani juzi kati ilijulikana hali halisi
 
ZBC kutwa nzima kutangaza uislam tu, mara faida za funga, mara iftar iliweje. Hawanaga vipindi vingine murua? Chaneli zao zimekosa mvuto kuzitazama
 
Mambo ya kiislam yanazidi kutangazwa kwa kasi ya ajabu kila kona. Upuuzi mtupu unaenezwa, unakuta watu wamejazana kukaririsha quran badala ya mambo muhimu ya kielimu. Kama ni maadili taifa lina maadili yake na wala si maadili ya kiislam. Kila raia ana maadili ya dini yake, imani yake na kabila lake. Uislam ubaki misikitini huko, nje kuna raia wengi na hawaamini uislam na imani yake
 
Kwanini wagalatia mnawashwawashwa wakati mnajua kabisa Zanzibar ni Nchi kamili na ni ailimia 99% waislamu
Bara ndio secular, kwa uwiano wa kidini, na chaa ajabu wagalatia walivyaa mijini kutoka vijijini na kukuta makanisa ya kilokole mpaka vichochoroni, eti siku hizi wanajiona wako wengi kuliko waislamu, nadhani juzi kati ilijulikana hali halisi
Juzinkati kwenye nini?!
 
Kwa muonekano wake ni mgonjwa au ana njaa ya muda mrefu, mpeni kitimoto rost na ndizi nakuja kulipa
 
Zanzibar ni Nchi ya Kiislam. This is unwritten article of the Constitution
 
Kwanini wagalatia mnawashwawashwa wakati mnajua kabisa Zanzibar ni Nchi kamili na ni ailimia 99% waislamu
Bara ndio secular, kwa uwiano wa kidini, na chaa ajabu wagalatia walivyaa mijini kutoka vijijini na kukuta makanisa ya kilokole mpaka vichochoroni, eti siku hizi wanajiona wako wengi kuliko waislamu, nadhani juzi kati ilijulikana hali halisi
Swali dooogo napo limekushinda kujibu. Je yupo sahihi au hayupo sahihi.?
 
Back
Top Bottom