PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,913
Reaction score
5,468
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
 
Sema una ipa prom
Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimi na kufanyiwa uchunguzi.
 
Hivi kutengeneza website na kuweka maudhui kumahitaji kibali cha serikali kweli?
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimi na kufanyiwa uchunguzi.
Wewe unayo maslahi yapi kuhusu swala hilo; kuna aliyekulazimisha ukatazame hizo picha?

Unafikiri kutunga sheria za kufunika maovu wanayotendewa waTanzania ndiyo salama ya utawala usiokubaliwa na watawaliwa?

Hata hivyo nikushukuru kwamba umeiweka wazi hiyo website, ili yeyote anayetaka kuona unyama uliofanywa na Samia Suluhu Hassan unaonekana wazi.
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
move on
 
Duh kumbe ndio ilivyokuwa hivyo aisee, Poleni sana Wa Tz, ila tiini Mamlaka hata kama hampendezwi nao funikeni kombe tu, mwenye kusema Hewara mwenye Kusema Familillah, Mwenye kusema yote namuachia Mungu, songeni mbele, Mmeishi na tawala haramu mara ngapi Mwachieni Mother anajiona bado yupo fit kuongoza taifa. siwezi kusema mpingane kwa hoja maana tz hiyo hamna, so vumilieni chapeni kazi tu waachieni wana siasa wapambanie ulaji wao. Like me sio mwana siasa. so i don't care
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Wewe ndiye hasa mjinga kwa sababu ndo umeifanyia promotion hii website ili hata tuliokuwa hatujui tujue...

Mfano mimi nilikuwa sijui hata kama kuna hii website. Kuileta tu hapa, umenifanya nijue hii kitu...

Tukiacha mengine yote, kwa hakika picha na video hizo zinatisha na kufedhehesha sana...

Ni halali Chura Kuziwi a.k.a Bi Kuzimkazi Samia Suluhu Hassan aweweseke na kuchanganyikiwa..

She has destrusted herself with her own hands because of negligence, stupidity and ignorance together..
 
Back
Top Bottom