Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

kwanza nikwambie tu Watu 8 nilipoona tu umeniquote moyo umeniruka ru nilijua tu hapa nakutana na challenge,asante kwa challenge ni nzuri kwa kweli.

Hahaha usijali, nimechelewa sana kuiona hii post yako...

neno mpenzi nimelitumia kama mwanamke ambaye hajawa ndani ya ndoa tayari,yaani ana mahusiano na mwanaume,mahusiano ambayo yatapelekea wawili hao kufunga ndoa na kuishi pamoja hapo baadaye au kwa neno jingine mchumba,niaminivyo na kujua mimi ni kuwa mchumba wako ni mpenzi wako au nimekosea mkuu?

Asante kwa kunifafanulia namna ulivyomaanisha matumizi ya neno mpenzi na nita-stick katika andiko lako...

Labda tuelezane jambo moja, mwanamke huwa chini ya miliki ya mwanaume pale tu anapotambulika kama mke...

Hii si dhana bali ni fact na ina utetezi wa kisheria, kiimani na hata kimila (African culture), na ndio maana hata ndoa inapovunjika sheria inatoa mwanya kwa mwanamke kudai sehemu ya jasho la ndoa...

Mwanamke ambaye hajaolewa (mchumba) huwa chini ya miliki ya wazazi au walezi au yake binafsi...

Pia iko wazi kuwa hakuna sheria ya kiimani wala kijamii inayotamka bayana kuwa mtu mke na mtu mume wanapokuwa na mahusiano ya kiuchumba au yasiyo ya kiuchumba, jukumu la huduma za kifedha lipo juu ya mwanaume (labda kama waijua sheria yoyote naomba unijuze)...

Mwanaume anapoamua kumuhudumia mwanamke huwa ni kwa sababu tu anajali na anajisikia kuwa yule aliye naye ni sehemu ya mafanikio yake...

Kwa kuandika hayo, ninapinga yote uliyoandika pale juu uliyoyawakilisha kwa kuyapa nambari 1, 2 na 3.
 
Narudia tena kusema mtoa mada ni mbumbumbu tena huna akili. Wanawake matapeli na majambazi kasoro mama yangu tu
 
haaaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaa umeniacha hoi banah,ila kiufupi mkuu mwanaume kuhudumia kuanzia sekta ya wallet mpaka hiyo nyingine,upo hapo maanake zote hizo ni huduma.
binadamu kiumbe kisicho ridhika hata ukifanya yote hayo bado utaambiwa matatizo usiishi kumridhisha mtu hadi ukaumia kupita uwezo wako fanya kadri ya uwezo unavyoruhusu huwezi mridhisha mtu kwa kila kitu kama MUNGU mwenye uweza hawezi kutu ridhisha kwa kila tunalolitamani sembuse sisi kwa sisi.
 
nimekusoma vilivyo mkuu na ninaunga mokno kuwa hakuna sheria yoyote inayomfunga mwanaume kumhudumia mwanamke kabla hajawa chini yake lakini mkuu nina haya ya kusema:

kwanza naomba niulize je ni vibaya kwa mwanamke kuomba msaada kwa mume wake mtarajiwa ikiwa anaona kabisa kuna sehemu amekwama?

vipi ikiwa wazazi wa mwanamke wana uwezo duni,mwanamke hawezi kuwa akiomba asaidiwe baadhi ya mambo na mumewe mtarajiwa?

na wewe kama mwanaume inatokea unapata mwanamke ambaye kwao hana uwezo na una uwezo mkubwa tu je utakaa kimya tu pasipo kumsaidia mpaka awe mke wako?

je wahenga hawakusema dalili ya mvua ni mawingu?je sio kwamba ikiwa mwanaume anaonyesha kujali kwa kipindi cha uchumba wenu tu huenda akawa anayejali hata zaidi mkiwa ndani ya ndoa?na je si dalili mbaya kwa mwanamke kuona mume hajali wala hafikirii kumsaidia,kumnunulia chchote hata kama ni kidogo wakati wa uchumba,huenda akawa asiyefikira mahitaji ya mkewe mpaka akumbushwe?

mwisho unasemaje kuhusu tabia ya mwanamke kwenda nyumbani kwa mume wake mtarajiwa na kufanya kazi za ndani za mule kama kuosha vyombo,kupiga deki,kupika na kufua?

Hahaha usijali, nimechelewa sana kuiona hii post yako...



Asante kwa kunifafanulia namna ulivyomaanisha matumizi ya neno mpenzi na nita-stick katika andiko lako...

Labda tuelezane jambo moja, mwanamke huwa chini ya miliki ya mwanaume pale tu anapotambulika kama mke...

Hii si dhana bali ni fact na ina utetezi wa kisheria, kiimani na hata kimila (African culture), na ndio maana hata ndoa inapovunjika sheria inatoa mwanya kwa mwanamke kudai sehemu ya jasho la ndoa...

Mwanamke ambaye hajaolewa (mchumba) huwa chini ya miliki ya wazazi au walezi au yake binafsi...

Pia iko wazi kuwa hakuna sheria ya kiimani wala kijamii inayotamka bayana kuwa mtu mke na mtu mume wanapokuwa na mahusiano ya kiuchumba au yasiyo ya kiuchumba, jukumu la huduma za kifedha lipo juu ya mwanaume (labda kama waijua sheria yoyote naomba unijuze)...

Mwanaume anapoamua kumuhudumia mwanamke huwa ni kwa sababu tu anajali na anajisikia kuwa yule aliye naye ni sehemu ya mafanikio yake...

Kwa kuandika hayo, ninapinga yote uliyoandika pale juu uliyoyawakilisha kwa kuyapa nambari 1, 2 na 3.
 
mkuu M'Jr kwani we unasemaje?we huoni raha kujua kuwa unayashikilia maisha ya umpendaye?i mean unamhudumia umpendaye au na we unaona ni kupigwa mizinga?kwani raha ya mwanaume kumweleka anayempenda ni nini?
Nimesoma hii nikacheka kwa nguvu kweli coz siku hizi imekuwa kama fashion wanawake kupiga mizinga kwa kisingizio cha mwanaume kugharamia. Ila kwenye mambo mengine HAKI SAWA lakini hapo hapo hapo kwenye mkwanja ndipo penye tatizo............. Haya bhana
 
Last edited by a moderator:
usemayo ni ya kweli lakini ninaamini mtu akikupenda kwa dhati ataridhikia hata na kidogo umfanyiacho.
binadamu kiumbe kisicho ridhika hata ukifanya yote hayo bado utaambiwa matatizo usiishi kumridhisha mtu hadi ukaumia kupita uwezo wako fanya kadri ya uwezo unavyoruhusu huwezi mridhisha mtu kwa kila kitu kama MUNGU mwenye uweza hawezi kutu ridhisha kwa kila tunalolitamani sembuse sisi kwa sisi.
 
kwanza naomba niulize je ni vibaya kwa mwanamke kuomba msaada kwa mume wake mtarajiwa ikiwa anaona kabisa kuna sehemu amekwama?

Si vibaya lakini vilevile si sheria...

vipi ikiwa wazazi wa mwanamke wana uwezo duni,mwanamke hawezi kuwa akiomba asaidiwe baadhi ya mambo na mumewe mtarajiwa?

Wema haupaswi kuzidi uwezo...

Kama mwanamke huyo aliweza kuhudumiwa na hao wazazi wenye uwezo duni hadi kufikia umri huo, iweje baada ya kumpata mwanaume mtazamo huo ubadilike?

na wewe kama mwanaume inatokea unapata mwanamke ambaye kwao hana uwezo na una uwezo mkubwa tu je utakaa kimya tu pasipo kumsaidia mpaka awe mke wako?

Kwa kuwa umetaja neno kusaidia, najua watambua kuwa msaada haulazimishwi wala kushurutishwa bali hutegemea utayari na uwezo wa mtoaji...

Mtu asipokusaidia hata kama ana taarifa hupaswi kumuhukumu...

je wahenga hawakusema dalili ya mvua ni mawingu?

Dalili ya mvua kuambatana na mawingu haina uhusiano wowote na walichosema wahenga, it's a scientific fact...

je sio kwamba ikiwa mwanaume anaonyesha kujali kwa kipindi cha uchumba wenu tu huenda akawa anayejali hata zaidi mkiwa ndani ya ndoa?

Hivi kujali katika mahusiano hupimwa na urefu au ufupi wa mkono pekee?

na je si dalili mbaya kwa mwanamke kuona mume hajali wala hafikirii kumsaidia,kumnunulia chchote hata kama ni kidogo wakati wa uchumba,huenda akawa asiyefikira mahitaji ya mkewe mpaka akumbushwe?

Si dalili mbaya na wala msaada si deni...

Mwanamke ambaye ana mawazo tegemezi haswa ya kiuchumi ni mzigo kwa mwanaume...

mwisho unasemaje kuhusu tabia ya mwanamke kwenda nyumbani kwa mume wake mtarajiwa na kufanya kazi za ndani za mule kama kuosha vyombo,kupiga deki,kupika na kufua?

Si jambo jema maana wanayafanya hayo kabla ya wakati...ni kama dereva anayeovateki kwenye kona...
 
Blue G...

Kuna vitu viwili inabidi ujue kwa mapana utofauti wake:

Kuna utofauti mkubwa sana baina ya duties na responsibilities (majukumu na wajibu)...
 
Last edited by a moderator:
mkuu M'Jr kwani we unasemaje?we huoni raha kujua kuwa unayashikilia maisha ya umpendaye?i mean unamhudumia umpendaye au na we unaona ni kupigwa mizinga?kwani raha ya mwanaume kumweleka anayempenda ni nini?
Blue G Kuna maswali mengi na logic nyingi ambazo zinapelekea mwanaume kuamua kumuhudumia mwanamke na sio tu kuwa kwenye mahusiano ndio iwe sababu ya kuhudumia. Nitakupa mfano mmoja, kama huyo mpenzi wangu ameniomba credit kwenye simu yake na nikamtumia lakini kwangu mimi anaishia kunibip au kunitumia please call me, do I have to do anything to her again? Sisemi sipigwi mizinga, napigwa sana tu but kama ni mizinga ya kipuuzi huwa sitoi na kama mwanamke anaona kwasababu sipigwi mizinga ya kipuuzi then sifai then na aende tu kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Well said and well concluded...

Blue G Kuna maswali mengi na logic nyingi ambazo zinapelekea mwanaume kuamua kumuhudumia mwanamke na sio tu kuwa kwenye mahusiano ndio iwe sababu ya kuhudumia. Nitakupa mfano mmoja, kama huyo mpenzi wangu ameniomba credit kwenye simu yake na nikamtumia lakini kwangu mimi anaishia kunibip au kunitumia please call me, do I have to do anything to her again? Sisemi sipigwi mizinga, napigwa sana tu but kama ni mizinga ya kipuuzi huwa sitoi na kama mwanamke anaona kwasababu sipigwi mizinga ya kipuuzi then sifai then na aende tu kwakweli.
 
Mapenzi ya sasa yana changamoto jinsi dependency inavyopungua na mahaba yanapungua shauri lenu vija na.

Kuna usemi usemao ANAYEPEWA, SIKU ZOTE HUHITAJI ZAIDI NA ZAIDI...
 
pesa ni tamuuuu! mijitu inapenda papuchi halafu haitaki kutoa pesa! hahahahaha unaachwa liveeee!!!
 
Unachanganya habari kueleweka ngumu hivi mtoa mada umeoa au ni wale ambao ndo mnaanza mapenzi? Kwenye issue ya mke na mume hakuna hiyo kitu ya kupigana mizinga. Vibiriti ngoma ndo wanaopiga mizinga!
 
Back
Top Bottom