Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

we pia ni mbumbumbu coz ukibishana na mbumbumbu utakuwa mbumbumbu pia ningekuona wa maana kama ungepita kimya kimya bila kutia neno,ila kwakuwa na wewe ni mbumbumbu ndo maana umejipitisha hapa na kiherehere kimekufanya ucomment kwani nani kakuomba ucoment? kantangazeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
Kuna majukwaa ya mambumbumbu na mtoa mada ni mbumbumbu
 
nadhan wanaume wengi wanalalamika zile excess na kuna mda inakua kama kero kwa mfano ni demu wako mnataka mkutane asbui kwanza kashakuchomoa elf 30 m pesa aende saloon ok sawa, anakuja mnaenda mgahawa au mnatoka not necessarily akakupe au tufanye ameenda kukupa cku iyo, mda anaondokan unamtoa kama 50, akifika home tu mara mdogo wangu yuko boarding anaomba elf 50 hapa sina mtumie ntakurudishia ni sina tu m pesa, kesho mara anaumwa anomba ela ya hospital ukimaliza tu mara anaomba ela ya matumizi baadae ela ya kula(mwingine anakaa kwa0) etc sababu chungu mzima kila moja solution yake ni ela tu hadi unaogopa kumpigia cim na kila ukipiga lazima ukutane na hitaji linalotaka ela!!!

alafu matatizo yanapangwa pasipo kujali pesa inatoka single source!!!
 
hapana MankaM siopesa ni matunzo maanek kuna wengi tu wana pesa za kutosha ila matunzo 0,hivi we unajisikiaje mumeo au mpenzio anapokutunza kwa hali na mali?yaani anakuwa msaada pale uliposhindwa wewe?

tatizo lishakuwa sugu kwa wanaume na hii ni kutokana na kuwepo kwa matapeli wanawake hivyo hii theory kushindwa kuapply
 
Last edited by a moderator:
nadhan wanaume wengi wanalalamika zile excess na kuna mda inakua kama kero kwa mfano ni demu wako mnataka mkutane asbui kwanza kashakuchomoa elf 30 m pesa aende saloon ok sawa, anakuja mnaenda mgahawa au mnatoka not necessarily akakupe au tufanye ameenda kukupa cku iyo, mda anaondokan unamtoa kama 50, akifika home tu mara mdogo wangu yuko boarding anaomba elf 50 hapa sina mtumie ntakurudishia ni sina tu m pesa, kesho mara anaumwa anomba ela ya hospital ukimaliza tu mara anaomba ela ya matumizi baadae ela ya kula(mwingine anakaa kwa0) etc sababu chungu mzima kila moja solution yake ni ela tu hadi unaogopa kumpigia cim na kila ukipiga lazima ukutane na hitaji linalotaka ela!!!

alafu matatizo yanapangwa pasipo kujali pesa inatoka single source!!!

aiseee inatia uchungu napenda pesa ndio lakin ingekuwa inanitokea mim ndio naombwa pesa kiasi hicho daaa sidhan kwa kweli yan sidhan
 
Ni kweli kwa unayosema mkuu, lakini ukumbuke kuwa kuna wanawake wengine nao wanakomoa sana, hawana hata huruma ndio maana wahusika wanashindwa kujizuia
 
huyo kweli ni too much mkuu,ila sasa ndo hapo inabidi utambue mapenzi ya dhati yakoje kwani kiufupi tu huyo yuko after money na amekuweka kitega uchumi chake huyo hafai hata kidogo,mi naongelea kule kuomba kwa kawaida tu au wale wanaume ambao wanaona shida kuwapa wake zao au wapenzi pesa hata bila kuombwa.
nadhan wanaume wengi wanalalamika zile excess na kuna mda inakua kama kero kwa mfano ni demu wako mnataka mkutane asbui kwanza kashakuchomoa elf 30 m pesa aende saloon ok sawa, anakuja mnaenda mgahawa au mnatoka not necessarily akakupe au tufanye ameenda kukupa cku iyo, mda anaondokan unamtoa kama 50, akifika home tu mara mdogo wangu yuko boarding anaomba elf 50 hapa sina mtumie ntakurudishia ni sina tu m pesa, kesho mara anaumwa anomba ela ya hospital ukimaliza tu mara anaomba ela ya matumizi baadae ela ya kula(mwingine anakaa kwa0) etc sababu chungu mzima kila moja solution yake ni ela tu hadi unaogopa kumpigia cim na kila ukipiga lazima ukutane na hitaji linalotaka ela!!!

alafu matatizo yanapangwa pasipo kujali pesa inatoka single source!!!
 
ni kweli mamito hilo ni tatizo kubwa na si unajua samaki mmoja akioza.......................
tatizo lishakuwa sugu kwa wanaume na hii ni kutokana na kuwepo kwa matapeli wanawake hivyo hii theory kushindwa kuapply
 
ndo hapo inabidi kuwa na utambuzi kujua ikiwa uliyenaye anakupenda kweli au anakutumia tu kama kitega uchumi chake,na kiukweli anayekupenda hawezi kutaka kukukomoa hata siku moja.
Ni kweli kwa unayosema mkuu, lakini ukumbuke kuwa kuna wanawake wengine nao wanakomoa sana, hawana hata huruma ndio maana wahusika wanashindwa kujizuia
 
Habarini za asubuhi wa rika langu ,shikamooni wakubwa zangu na wadogo zangu marahaba.

Wana mmu mwenzenu leo ninalo hili,wimbi la matukio ya wanaume wengi ambao kutwa hawaishi kulalamika kuwa wanapigwa mizinga na wake au wapenzi wao limezidi kuongezeka.

Jamani ukweli ni kwamba ukikuta wewe ni mwanaume na una umia sana kumpa mkeo au mpenzio pesa kwa kupenda au hata kwa kuombwa huenda ukawa na matatizo haya matatu au mojawapo:

1.hujui jukumu lako au daraka lako kama mwanaume,:
kwani kiasili mwanaume alipewa jukumu la kumtunza mke wake na ndio maana mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho na si mwanamke kwa hiyo wewe kama mwanaume huna budi kumtunza mkeo kwa kila kitu tena bila malalamishi.


2.huna mapenzi na huyo mkeo au mpenzio:
Jamani kiukweli ukimpenda mtu unawiwa kumfanyia mambo mazuri yaani huoni haja ya umpendaye kuteseka ilhali wewe upon na uwezo wa kumsaidia upo,kwa hiyo ukijikuta unalalamika unapigwa mizinga wakati mpenzio anakuomba hata pesa ya mtaji labda au hata ana shida Fulani ya pesa jua huna mapenzi naye,pengine umelzimishwa kuwa naye au kuna hali zimekulazimu kuwa naye au umekuwa naye tu kwa sababu wote uliokuwa unawataka hakuna hata mmoja aliyekukubali ila huyo kwa hiyo unahisi hasira kumhudumia unaona mzigo mkubwa mno.


3.huna feature naye (mpenzi,mchumba)
Uko naye kwa ajili ya kupoteza muda huna malengo naye kwa hapo baadaye,yaani you hit and run na kwa hivyo swala la kumhudumia au kumpa pesa kwako ni kero na shida tupu.


Mwanaume kuhudumia bwanah,hivi huoni raha kujua kuwa unayategemeza maisha ya umpendaye,hujisikii vizuri?hujioni mwanaume wa shoka?


N:B siongelei wale wanawake wenye tabia za waziwazi za kuchuna wanaume nawaongelea wanaume ambao hawapendi na wanaona ni usumbufu kuwahudumia wake au wapenzi wao au hata wanatamani wake au wapenzi wao wawe na kazi pia ili waweze kujihudumia wao wenyewe.maanake kuna wanaume wengine analalamika live kabisa kwa wenzie nyie jamani mi mke wangu/mpenzi wangu anaomba hela huyo au yaani ye kila siku kuomba omba t tu hivi anajua uchungu wa kutafuta hela huyu?

wengine mnasemaje?karibuni wana MMU nawasilisha.

Nimesoma hii nikacheka kwa nguvu kweli coz siku hizi imekuwa kama fashion wanawake kupiga mizinga kwa kisingizio cha mwanaume kugharamia. Ila kwenye mambo mengine HAKI SAWA lakini hapo hapo hapo kwenye mkwanja ndipo penye tatizo............. Haya bhana
 
ndo hapo inabidi kuwa na utambuzi kujua ikiwa uliyenaye anakupenda kweli au anakutumia tu kama kitega uchumi chake,na kiukweli anayekupenda hawezi kutaka kukukomoa hata siku moja.
Hapo sasa tumeelewana
 
Kutafuta pesa ili kuwa na furaha ni kitu tofauti kabisa na kuwa mtumwa wa pesa! Ni Kama pombe unaweza kunywa uka enjoy, au ukanywa kupita kiasi ikakuua au ukawa addicted, hakuna pesa hakuna furaha period.
You are entitled to think the way you think in accordance to halmashauri ya thoughts zako which elected itself and they are commiting murder in your head and you let those little buggers drive you like nobody's business....
 
Asante sana elizerbeth Dominic, Umesema vizuri sana.

Pesa kama pesa kwa yenyewe haina furaha wala haileti furaha... Furaha inaanzia within na sio utside ourselves.
Tulitegemea watu waliofanikiwa sana waongoze kwa kuwa na furaha ila imekua kinyume chake... tulitegemea mabosi ndio wawe na furaha sana lkn imekua kinyume chake... basi hivyo vyoote kama hatujajiweka vizuri ndani mwetu.. kamwe hakuna kitu kilicho nje yetu kinachoweza kutupa furaha tuitakayo.. Inaanza na sisi kwanza.
Most people will never get that, it's a cruel World nakwambia
 
Back
Top Bottom