Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

mkuu naona hukutaka tu kucoment kwani wangapi wamecoment licha ya makosa ya kiuandishi yaliyojitokeza?unataka kuniambia hujaelewa au unataka tu kuanzisha ligi?haya basi ndo sibadilishi hivyo!!!!!!!!!!!!!sio lazima ucomment.
Hiyo ya tatu sio feature ni future.. BADILISHA HAPO NI-COMMENT :angry::angry::angry:
 
na waliojiua illhali wana pesa nyingi tu tusemeje mkuu walikosa furaha itokanayo na pesa au?
Kutafuta pesa ili kuwa na furaha ni kitu tofauti kabisa na kuwa mtumwa wa pesa! Ni Kama pombe unaweza kunywa uka enjoy, au ukanywa kupita kiasi ikakuua au ukawa addicted, hakuna pesa hakuna furaha period.
 
na waliojiua illhali wana pesa nyingi tu tusemeje mkuu walikosa furaha itokanayo na pesa au?

Mental illiness or depression, wala haina uhusiano na pesa mkuu, usiniambie bill gates Hana furaha utapasua mbavu zangu, utapata furaha wapi when you're broke? Tuache kuongopeana.
 
na-comment kwa shingo upande..
kuna mazingira ya mwanamke kuomba fedha/pesa na ukamuelewa/ukampa... ila kuna muda mpaka mtu unajiuliza huyu mwanamke anawaombea hela na wenzake au anataka kulipa deni benki??
 
Wana mmu mwenzenu leo ninalo hili,wimbi la matukio ya wanaume wengi ambao kutwa hawaishi kulalamika kuwa wanapigwa mizinga na wake au wapenzi wao limezidi kuongezeka.

Jamani ukweli ni kwamba ukikuta wewe ni mwanaume na una umia sana kumpa mkeo au mpenzio pesa kwa kupenda au hata kwa kuombwa huenda ukawa na matatizo haya matatu au mojawapo:

Nimeisoma mada yako kwa umakinifu lakini kabla ya kuijadili naomba ufafanuzi wa matumizi ya neno "mpenzi" kama ulivyolitumia katika utangulizi wa mada husika...

Je neno mpenzi umelitumia kuwakilisha kundi gani la mwanamke aliye katika mahusiano?
 
we ndo unalijua hilo mkuu,wenzio sa hizi hata akiombwa hela ya kusukia nywele atalalamika kapigwa mzinga tayari na wakati huo huo anataka sana mpenzi wake aonekane smart,sa sijui mpenzi wake amwombe baba hela ya kusukia kumfurahisha yeye?
kama huyo dawa yake ni 'kupigiwa' tu
 
bado nipo pale pale mkuu pesa sio chanzo cha furaha nikupe mfano kuna mwanaume mmoja alikuwa na pesa na mali nyingi sana lakini aliipoteza familia yake kwenye aksidenti ya barabarani,unajua lisemaje?alisema uhai ungekuwa unarudishwa kwa pesa au mali basi angeuza mali zake zote na kutoa pesa zake zote ili tu aipate familia yake tena kwani alikuwa mwenye huzuni sana licha ya pesa na mali nyingi alizokuwa nazo.
Mental illiness or depression, wala haina uhusiano na pesa mkuu, usiniambie bill gates Hana furaha utapasua mbavu zangu, utapata furaha wapi when you're broke? Tuache kuongopeana.
 
haaaaaaahaaaaaaahaaaaaa Kinyozi wetu una mikwara wewe,haya banah nimekuelewa na comment yako na ndio maana hata mimi pale mwisho nilimalizia kwa kusema kwamba siwaongelei wanawake ambao kwa kweli wamekaa kimaslahi zaidi yaani kumchuna pesa mwanaume,naongelea watoto wa kike ambao wanaomba msaada wa kawaidatu kwa waume au wachumba zao pale wanaposhindwa kujisaidia wao wenyewe.
na-comment kwa shingo upande..
kuna mazingira ya mwanamke kuomba fedha/pesa na ukamuelewa/ukampa... ila kuna muda mpaka mtu unajiuliza huyu mwanamke anawaombea hela na wenzake au anataka kulipa deni benki??
 
Last edited by a moderator:
kwanza nikwambie tu Watu 8 nilipoona tu umeniquote moyo umeniruka ru nilijua tu hapa nakutana na challenge,asante kwa challenge ni nzuri kwa kweli.

back to swali lako mimi hapa neno mpenzi nimelitumia kama mwanamke ambaye hajawa ndani ya ndoa tayari,yaani ana mahusiano na mwanaume,mahusiano ambayo yatapelekea wawili hao kufunga ndoa na kuishi pamoja hapo baadaye au kwa neno jingine mchumba,niaminivyo na kujua mimi ni kuwa mchumba wako ni mpenzi wako au nimekosea mkuu?
Nimeisoma mada yako kwa umakinifu lakini kabla ya kuijadili naomba ufafanuzi wa matumizi ya neno "mpenzi" kama ulivyolitumia katika utangulizi wa mada husika...

Je neno mpenzi umelitumia kuwakilisha kundi gani la mwanamke aliye katika mahusiano?
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe umeamua kuwa na madada walio after money,yaani wao ni bidhaa amua kuwa na serious relation uone.
dats why am afta mgegedo fasta as pocble!
sitaki tena presha nao.
 
halafu wanavyojua kulalamika sasa wakipigiwa,utawaonea huruma wakati kutunza ni zero wakikumbushwa wanalia wamepigwa mizinga,pole yao kwa kweli.
kama huyo dawa yake ni 'kupigiwa' tu
 
hapana MankaM siopesa ni matunzo maanek kuna wengi tu wana pesa za kutosha ila matunzo 0,hivi we unajisikiaje mumeo au mpenzio anapokutunza kwa hali na mali?yaani anakuwa msaada pale uliposhindwa wewe?
pesa hii tunatoana roho aiseee
 
Last edited by a moderator:
bado nipo pale pale mkuu pesa sio chanzo cha furaha nikupe mfano kuna mwanaume mmoja alikuwa na pesa na mali nyingi sana lakini aliipoteza familia yake kwenye aksidenti ya barabarani,unajua lisemaje?alisema uhai ungekuwa unarudishwa kwa pesa au mali basi angeuza mali zake zote na kutoa pesa zake zote ili tu aipate familia yake tena kwani alikuwa mwenye huzuni sana licha ya pesa na mali nyingi alizokuwa nazo.

Hiyo haimanishi pesa zake hazimpi furaha, Ina maana kwamba Kama angeweza kurudisha familia yake angefanya hivyo at any cost,huzuni yake inatokana na jambo lililomtokea ambalo maskini au tajiri Hana uwezo wa kubadilisha.
 
sawa mkuu sokwe sina neno zaidi kwani kila mtu ana mtazamo wake na anajua nini kinampa furaha maishani mwake.

Back
Top Bottom